Giuseppe Zanotti Watangaza Kurudisha Cruel Iconic Heels
Remember this ?? Hiki kiatu ilituletea shida na copy za kichina zikawa kibao mtaani . Waliofanikowa kuvaa OG wabaki na heshima yao maswali kibao lakini kiukweli kwa Tanzania hii labda wasio na majina ambao hawajulikani ila ma star wetu wengi walitred kwa kuvaa copy za…
Clogs Kutoka Kwa Balenciaga X Crocs Zinavyo Trend Kwasasa
Kama ulikuwa unamawazo kwamba hii trend ya rlocs itaisha anytime soon well tunakushauri chukua kiti ukae kwa maana inaonekana brand zimeamua kuzirudisha kwa kasi ya radi. Balenciaga na Crocs waliungana na kutoa baadhi ya viatu ambapo mojawapo ni hizi clogs na zinaonekana kuvutia watu maarufu…
Vercase Medusa Aevitas Platform Pumps Zinavyo Trend Kwasasa
Shoes brand’s zimekuwa ziki-work hard than the devils, kutoka kwa amina muaddi clear heels, zikaja Bottega Veneta Wrap-tie Mesh pumps sasa hivi ni zamu ya Vercase na hizi Medusa Aevitas Pumps. Viatu hivi vinauzwa Usd 1,875/- sawa na Tsh 4,318,125, Vitu hivi vya satin vina bold…
Gigy Money Made A Wrong Choice Of Shoe Mistake
Viatu hucheza nafasi kubwa sana katika mavazi yetu, inawezekana ni kitu cha mwisho kukifikiria lakini ni kitu ambacho pia ukikikosea hata kama umependeza vipi lazima chenyewe kitatia doa hasa kama umevaa mavazi ambayo kiatu hiko kinaonekana. Kwasasa trend kubwa kwenye viatu vya mchuhumio ni viatu…
Clogs Are The It Shoes For The Moment
Clogs zinzaonaka kuanza kuzipoteza crocs, tofauti kubwa ya clogs na crocs ni kwamba clogs zimekaa kipedezee kidogo zinapatikana in leather au suede materials na zinamunekano fulani unaweza kuvaa zikaonekana vizuri kuliko crocs ambazo zimekaa casual zaidi. Kwasasa zinaonekana ku-trend sana hasa kwa upande wa wanaume,…
The Ankle Wrist Bag Trend
Ukiachana na anklets, henna na tattoo kulikuwa hakuna namna nyingine ambayo unaweza ku-accessorize mguu wako lakini kwa sasa imeonekana unaweza kuvaa hizi ankle wrist bag na ukapendezesha mguu wako vizuri tu. Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend Hii trend tumeiona kwa…
Bottega Veneta Wrap-tie Mesh pumps
Bottega Veneta wamekuwa wakitoa trending products back to back, zilianza handbags na sasa ni hivi viatu ambavyo ni Wrap Tie Mesh Pumps, viatu hivi vinauzwa USD 930 sawa na TSH 2,156,863.44. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia hivi viatu akiwepo Rihanna, Nicki Minaj, Toke Makinwa,…
Diamond Platnumz Serving Inspiration Through His Shoes
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepost picha akiwa amevalia viatu aina ya Air Jordan I Mid Fearless ambavyo vilitoka mwaka 2019, viatu hivi vilikuwa collaboration ya kwana ya Nike na mbunifu Melody Ehsani. Melody Ehsani . Viatu hivi vipo unique kwa namna tatu, ni colorful, vina saa…
A Chop Or Drop Maison Margiela Tabi Boots
Wabunifu wanaendelea kuwa inspired na vitu mbalimbali, miaka ya 1980, ambapo Maison Margeila alitengeneza hivi viatu akiwa inspired baada ya kutoka Trip, Japan. Japo kiatu hiki kimebuniwa miaka mingi nyuma bado kinaonekana kuwa iconic na kuendelea kuwepo kutoka na utofauti wake. Hiki kiatu kina split…
Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa
Kiatu ni moja kati ya kiungo muhimu kabisa katika kukamilisha muonekano wa mavazi yako, na kuonyesha kwamba hiki kiungo ni muhimu basi kama ukikosea ukakipunguza muonekano wako mzima unaharibika. Moja kati ya viatu vinavyopendwa Duniani ni Nike Air Force kutoka kwa Brand ya Nike, viatu…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…