Beauty Looks Spotted From Last Week
Kitu kimoja kuhusu ku-keep with celebrities ni kwamba hakuna kupoa wala kuboha, hasa katika swala la mitindo na urembo, mara zote huwa wanahakikisha kutu-update na mionekano yao na mara nyingi huwa wanapendeza sana. Week hii haikuwa na sherehe nyingi lakini hii haikuwazuia watu maarufu kupendeza…
Sishkiki Giving A Glimpse Of What She’ll Be Wearing Soon
Sishkiki ni moja kati ya fashionista’s wanaofanya vyema sana Nchini, yuko very exposured na fashion na huwa sio muoga kujaribu vitu vipya. Hii imejionyesha au kujidhihirisha katika instagram yake ambapo huwa anapost mavazi mbalimbali anayo valia, lakini pia hivi karibuni katika Ista Story yake alipost…
New Year Looks From Celebrities
Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na…
Reviewing Nandy’s Kitchen Party Looks
Jumapili ilikuwa sherehe ya kitchen party ya Faustina Charles Mfinaga a.ka Nandy na watu maarufu wengi walihudhuria ambapo wengi wao walipendeza mno. Rangi za usiku huu zilikuwa gold,njano,nyekundu pamoja na nyeupe. Kama ilivyo ada ni lazima tutoe two cents zetu kwenye mionekano tuanze na mwenye…
Fashion, Surgery & Body Shaming With Sishkiki Sikamatiki
AFS: Tungependa Tukujue Kidogo Jina Lako Halisi, Masomo Etc Sishkikii: Nafahamika kwa Sishkiki sikamatiki. As first & lastname. Lol. A graduate at UDSM that majored in social science. AFS: Kwanini Sishkiki Sikamatiki? Sishkiki: kwasababu sishkiki. 😄Nilitaka jina linitambulishe kabla mtu hajanifahamu vizuri. AFS: Tumeona Unafanya…
Sishkikii Na Safari Yake Katika Skin Lightening
Fashionista Sishkikii ame-reveal kuwa anaanza safari ya kung’aza ( lightening) ngozi yake, well tulishawahi kuongelea kuhusu utofauti kati ya skin lightening na skin brightening. Ila kwa kifupi tu Tunapoongelea Lightening ( Kung’aza) Tunaongelea kung’aza ngozi kuwa katika hali ya kawaida, hii ni kama pale unapopata…
Hamisa Mobetto, Sishkikii, Nengi & Others In Color Blocking Trend
Color Blocking Trend imerudi tena, watu maarufu na wabunifu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na trend hii kwa kutuonyesha namna mbalimbali unavyoweza ku-color block na mavazi yako. Kuvaa mavazi yenye bold colors kuna faida mbalimbali ikiwepo: Kuboost mood yako Zinaongeza ufanisi katika siku yako Zinakufanya uwe noticed…
Date Outfits Ideas From Sishkikii
Ni mwisho wa week, inawezekana una mualiko wa kutoka na mpenzi wako au hata rafiki wa karibu. Mara nyingi huwa ni mtihani kujua nini cha kuvaa ukiwa na mialiko ya aina hii. Wengi huwa tunawaza nini cha kuvaa kutokuonekana too much lakini pia kupendeza. Leo…
The Ankle Wrist Bag Trend
Ukiachana na anklets, henna na tattoo kulikuwa hakuna namna nyingine ambayo unaweza ku-accessorize mguu wako lakini kwa sasa imeonekana unaweza kuvaa hizi ankle wrist bag na ukapendezesha mguu wako vizuri tu. Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend Hii trend tumeiona kwa…
Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend
Mini ( Tiny ) Bag trend bado inaendelea, watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa nazo na hii ina include watu maarufu kutoka Tanzania. Mwanadada anaekuja kwa kasi katika upande wa fashion Sishkikiki nae ameonekana kuvutiwa na trend hii ambapo yeye tumeona akibeba pochi hizi kwa namna…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…