Inawezekana wakati bado ana mwili mnene Wema alimiss kuvaa skinny jeans kwa maana kwa sasa ndiyo vazi lake kubwa, tunaweza kusema na flat tummy yake na suruali hizi zinamkaa vizuri lakini tatizo linakuja miguuni Wema ana skinny legs ( which is totally okay to have)….