How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look
Anitha Closet ni fashion blogger & fashionista kutoka Nchini kwetu Tanzania, ni moja kati ya wale fashionista ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu, hats off kwake kwa kuendelea kuwepo kwenye tasnia bila ya kuchuja. Anitha alihudhuria katika Autism Awareness Gala akiwa amevalia hii look…
Elizabeth Michael, Lady Jaydee, Julitha Kabete And Many More Looks From Last Week
Hello Afromates we hope your having a good monday, well if not let this looks brighten your day, week iliyopita tumeona looks mbalimbali kutoka kwa watu maarufu mbalimbali wakiwa wame attend events au waliamua tu kutuonyesha wamevaa nini and as usual huwa tunachagua zile zilizotupendeza…
Monica Brown Na Victoria Kimani In Gucci Mask Frame Sunglasses Za TSh 2,852,000.00
We have a gucci situation kwa wanamuziki wawili, ambapo tuna Monica Brown na Victoria Kimani. Tume wa-spot hawa wasanii wawili wakiwa wamevalia miwani kutoka katika brand ya Gucci ambayo inauzwa USD 1,240 sawa na Tzs 2,852,000/- Miwani hii ya gucci na flame nyeusi ambayo imezungukwa na…
The Lewks From The 3rd Week Of January
Hello Afromates ni week nyingine tena ambayo tumeianza kutoka katika ule mwezi mgumu kabisa wa January,na leo tunakuletea looks zote tulizoziona kutoka katika week ya tatu ya January yaani week iliyopita, tunaweza kusema January isn’t that bad after-all this slayage tumeona kwenye hii week ya…
Slayed Or Played With Irene Uwoya, Queen Elizabeth, Rayvanny And Many More
Hello Afromates, we hope December is treating you well well, Tunaelekea mwisho wa mwaka na leo tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamezindua December yao je wame Slay? au wame play? Katika menu yetu leo tuna Irene Uwoya, Queen Elizabeth, Rayvanny & Harmonize, Hapiness Magesse na…
Slayed Or Played With Vanessa Mdee, Elizabeth Michael, Nedy Music And Others
Hello #afromates as wote mnajua kwamba kila jumatatu huwa tunaleta list ya nani amevaa nini na alipendeza au lah kutoka week iliyopita, well kama mgeni basi jua kwamba tuna system ya kukuletea report ya week nzima ya nani amepanda nini katika swala zima la fashion,…
Slayed Or Played With Lulu Diva, Otile Brown, Esma Platnumz And Many More
#afromates week imeisha na kama ambavyo tunajua kila jumatatu huwa tunawaletea report ya zile looks ambazo tumeona zimenoga na zile ambazo tumeona zimekosewa, well week hii tuna looks kutoka kwa watu mbalimbali ndani na nje ya Nchi na seems like this week wengi walijitahidi katika…
The Return Of Elizabeth Michael, Nandy Album Release And Many More
Weekend imeisha we are back maofisini katika biashara lets refresh mambo makubwa yaliyotokea week iliyopita katika upande wa fashion, nani amevaa nini nani amependeza na nani tumeona hapana ameenda kushoto. Elizabeth Michael In Red Outfit Muigizaji Elizabeth Michael amemaliza kifungo chake cha nje na katika…
Who Slayed And Who Played Kwenye Swala Zima La Mavazi Week Iliyopita
Tumeanza mwezi mpya, tumebakiza siku chache kabla hatujamaliza mwaka 2018 leo tunaangalia watu maarufu wameanzaje mwezi huu katika upande upande mionekano yao kiujumla, na week hii tupo tofauti kidogo tumeamua kuchanganya looks zote kutoka kwa watu maarufu wa nje na ndani ya Nchi je nani…
Sahau Kuhusu High Waist Trouser Sasa Hivi Tunavaa Suruali Kifuani
Kwenye maswala ya mavazi katika top 10 essential clothes kuwanazo lazima utakutana na highwaist trouser hizi zina play part kubwa sana katika mitoko ya sehemu mbalimbali iwe official, casual au kwenye occasion yoyote inategemea na unavyo style kutokana na uendapo, well sahau kuhusu high waist…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…