SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Nani Kadamshi Na Nani Katindinganya Week Hii 

Tumeona mionekano ya watu maarufu mbalimbali ambao kuna wale walio tupa the wow look tukaona hawa wanafaa kuongelewa, kuna wale ambao walikuwa vuguvugu hawa mara nyingi tuna pass by, na kuna wale ambao walitupa the what going on look hawa nao huwa tunaona wanafaa kuongelewa, Kama…

Mitindo

Mionekano Ya Watu Maarufu Week Hii 

Tumemaliza week na tunaanza week nyingine kama kawaida tunakuletea Weekly fashion highlights ya msanii gani maarufu kavaa nini na kama amependeza au lah katika macho yetu, Week hii tunao Miss Tanzania 2016/2018 – Diana Flave Msanii Wa Bongo Flava – Diamond Platnumz Producer – Nahreel…

Mitindo

Juma Jux Birthday Party Fashion Review 

Weekend ilikuwa na mengi lakini mojawapo ni kuwa na birthday ya msanii wa bongo flava Juma Jux, wasanii na watu maarufu mbalimbali walihudhuria na sisi jicho letu lilikuwa kwenye mavazi, wengi walijitahidi tunadhani theme ya birthday ilikuwa black kwa sababu wengi walionekana in black outfits…

Habari

Celebrities Who Slayed And Played This Week 

As usual kila juma likiisha tunakuwa na lokoo ya waliopendeza na walio zingua katika mavazi week nzima, Romyjons Black And Gold Birthday Fashion Review And Weekly Fashion Highlights well tunakuletea leo nani alipendeza na nani kwetu tumeona ameenda kushoto Je wewe msanii wako yupo group lipi?…

Mitindo

Slayed Or Played Highlights Kutoka Week Iliyopita 

Tumeanza week nyingine tena, week iliyopita tumeona mambo mengi mengi ya kuhuzunisha na mengine ambayo yalitufurahisha kutoka hapa kwetu lakini pia kutoka Nchi za wenzetu tuanze na yaliyo tufurahisha Rihanna as a bride maid Week iliyopita mwanamuziki Rihanna ambae pia ni fashion icon alisimamia harusi…