SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Slayed Or Played Highlights Kutoka Week Iliyopita 

Tumeanza week nyingine tena, week iliyopita tumeona mambo mengi mengi ya kuhuzunisha na mengine ambayo yalitufurahisha kutoka hapa kwetu lakini pia kutoka Nchi za wenzetu tuanze na yaliyo tufurahisha Rihanna as a bride maid Week iliyopita mwanamuziki Rihanna ambae pia ni fashion icon alisimamia harusi…

Mitindo

Slayed Or Played Weekly Highlights 

Jumatatu nyingine tena ambayo tunakuletea segment ya nani alipendeza na nani aliharibu kuliko wote week nzima katika watu maarufu, well tuseme tu week ilikuwa nzuri kabisa wengi walipendeza japo kama kawaida katika msafara wa mamba kenge hawakosagi. Basi tuone nani alipendeza week hii Mwanamuziki Vanessa…

Mitindo

Our Slayed or Played Report Of This Week 

Tumeanza week nyingine tena ikiwa tunamalizia mwezi wa 7, well mwaka unaishia hivyo na inaonekana tunaumaliza vizuri, week hii imeisha vizuri almost kila mtu alipendeza kulingana na uwezo wake. Hizi ndizo tulizoziona tukazipenda week hii hamna alie haribu they actual surprised us Makeup Artist Monica…

Mitindo

Our Favorite And Worst Outfit Of The Week 

Inapofika jumatatu huwa tunafurahi na tupo tayari kukupa updates za nani alipendeza na nani alizogoa week hio, well we have to say last week had looks kila mtu alijitahidi kulingana na uwezo wake kupendeza katika nafasi yake lakini hakukosekanagi wale ambao nao hawajielewi let’s see…

Mitindo

Diamond Platnumz Kuvaa Kikuku Je Ni Sawa? 

Kama kuna kitu ambacho huwa kina make headlines katika jamii ni kwa mwanaume kuvaa kitu ambacho kinaaminika kina paswa kuvaliwa na mwanamke tu, hii hufanya watu kumdharau na kushusha heshima yake kama mwanaume. Weekend iliyopita mwanamuziki Diamond Platnumz ame make headlines baada ya kuvaa kikuku…