SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Watu Maarufu Waliopendeza Na Kuharibu Week Hii 

Ni juma lingine tena tumelianza, week iliyo isha kulikuwa na matukio mengi na tumeona mitoko ya watu maarufu mbalimbali kuna ambayo ilituvutia na kuna ile ambayo ilituendea kushoto well tuone nani na nani wameingia kwenye list yetu ya waliopendeza Miss Africa Tanzania ‘16  Julitha Kabete…

Mitindo

The Best And Worse Outfit’s Of The Week 

Tumeanza week nyingine tena na tuna review week iliyopita nani alipendeza na nani hakupendeza, week ilikuwa na mambo mengi mengi yaliyo hitaji watu ku-slay lakini pia kuna wale ambao walikuwa na mitoko yao binafsi wakaamua kutuonyesha namna walivyo vaa. Pata Kujua Nani Amependeza Na Nani…

Hair

Maua Sama Gone Blonde 

Maua Sama ni moja kati ya wanamuziki ambao tunaweza kusema wanafanya Fashion Evolution, Maua wa sasa si yule wa zamani, she changing her looks more often lakini pia anatoka kwenye comfort zone yake, Zamani ulikuwa ukitajiwa maua kinacho kujia kichwani ni her signature look ya…