Sababu 4 Kwanini Style Yako Ina Boha
Unapenda fashion unapenda kuvaa vizuri, una mavazi mazuri lakini chakushangaza kilaunapo yavaa unaona hayakupi ile feeling ya kuwa this is it, kukupa ile confidence ya kwamba umependeza na kujishow off. Well inawezekana unafanya vitu hivi ambavyo vinasababisha kuharibu style yako: Mindset Yako Inaweza kuwa ni…
Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene
Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are. Lakini kama unaona bado…
How Transform An Outfit With Little Touch’s
Weekend Imefika na as usual weekend huwa tunapenda kuwa kwenye casual na comfortable fits. Lakini hii haimaanishi outfit yako iwe bore, umeshawahi kufikiria ni vipi watu maarufu wanavaa tshirt na jeans lakini wanapenda mno? basi leo tunakupa tips za nini unaweza kufanya ku-transform outfit yako….
The Rule of Three ( Minimum Of 3 Items On One Outfit )
Kwenye kuvaa au ku-style muonekano wako kuna tips mbalimbali mbazo wengi huwa hatuzijui au hatufuatilii. Moja kati ya tips hizo ni hii ya kuvaa si chini ya vitu vitatu katika outfit yako. Yes this tip huwa inatumiwa na watu maarufu wengi na ndio tip ambayo…
Dondoo 5 Za Mitindo Kwa Watu Wanene
Miili imekuwa kisingizio cha wengi kutokuvaa na kupendeza, lakini kumbe kila mmoja wetu anaweza kuvaa na akapendeza inatakiwa tu uujulie mwili wako wa aina gani na mavazi yapi yanakufaa, kama ungependa kujua zaidi kuhusu aina ya mwili wako na mavazi yapi yana kufaa tunashare link…
Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa
Tarehe 9 mwezi wa tatu kuna event ambayo inaitwa Tanzanite Womens Forum And Lunch, tumepata nafasi ya kufanya interview na mbunifu Khadija Mwanamboka ambae yeye ni moja kati ya waanzilishi wa event hii ametuelezea zaidi kuhusu event hii Afroswagga: Unaweza kutupa hint ya event inahusu…
Mambo Matatu Ambayo Husemwa Ni Makosa Ya Fashion Lakini Si Makosa Kabisa
Fashion ni maisha, kwanini tunasema ni maisha sababu Fashion ipo milele na huwezi kutembea barabarani hujavaa that means chochote unachovaa kinahesabiwa kama mtindo, well leo tunaongelea mambo matatu ambayo hutajwa kama makosa ya Fashion lakini kumbe si makosa kabisa, na mambo haya husemwa ni makosa…
Pata Kujua Kuhusu Layering Na Inavyoboresha Uvaaji
Nitatumia zaidi neno ‘kulayer’ kwasababu ni fupi zaidi kuliko kutumia sentensi ‘kuvaa nguo juu ya nguo’ ila nachomaanisha ni kitu kile kile. Kulayer hufanya hata nguo ya kawaida kabisa kuwa na muonekano wa kipekee na tofauti. Ni namna ya kuongeza ubunifu na upekee katika vazi….
Jinsi Unavyoweza Kubadilisha Wardrobe Yako Kutokana Na Umri Na Mazingira
Hiki kipindi karibu kila mmoja wetu anakipita, kipindi ambacho umri unakuwa na unaona kabati au mavazi yako haya match na maisha yako ya sasa na umri wako, hii ni kutokana na kwamba when we grow kuna baadhi ya vitu vinabadilika, life style ina badilika na…
Anza Mwaka Wako 2019 Kwa Kuacha Makosa Haya Ya Fashion
Tukiwa tunaanza mwaka 2019 tuliweka malengo ya kujiwekea mwaka huu, lakini leo tunakuletea makosa ya fashion ambayo wengi huwa tunayafanya na tuna paswa kuyaacha, Malengo Kumi (10) Ya Kujiwekea Kwa Ajili Ya Kuanza Mwaka Mpya Kwa Umaridadi ukiongelea kuhusu fashion ina wigo mpana sana ni vyema kuwa…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…