6 Times Ms Doris Showed Us How To Style Strap Dress With Shirt Underneath
Doris ni fashionista kutoka Tanzania ambae utampata instagram kwa nickname yake ya ms_ris_eddy Ni moja kati ya fashionistas ambao Tanzania ina pashwa kujivunia, yaani sio yule wa fashion za trend Doris yupo kipekee anajua kujistyle. Well leo tumekuletea mara 6 ambazo Doris ametuonyesha namna ya…
The Rule of Three ( Minimum Of 3 Items On One Outfit )
Kwenye kuvaa au ku-style muonekano wako kuna tips mbalimbali mbazo wengi huwa hatuzijui au hatufuatilii. Moja kati ya tips hizo ni hii ya kuvaa si chini ya vitu vitatu katika outfit yako. Yes this tip huwa inatumiwa na watu maarufu wengi na ndio tip ambayo…
7 Things To Do While You Are Stuck At Home During Quarantine
Wakati tukiwa tumezoea ikifika weekend tunatoka kwenda kwenye manunuzi, kufurahi na kujumuika na ndugu na marafiki kufanya usafi wa nywele zetu na kucha. Kwa sasa haiwezekani kutokana na uganjwa hatari wa Corona. Tumeshauriwa kukaa mbali na mikusanyiko na kama huna cha maana mtaani ni bora…
Color Hacks For A Killer Outfit – Part 1
Moja kati ya vitu ambavyo vinapandisha na kushusha outfit yako ni mpangilio wa rangi, zinaweza kuharibu kabisa muonekano wa vazi lako kama zitapangiliwa vibaya na zinaweza kufanya vazi lako litoke kutoka 0-100 real quick. Wengi huwa tunazikimbia kutokana na kuto kujua namna ya kuzipangilia ili…
6 Ways To Layer Your Cloth In A Hot Weather Condition
Mara nyingi huwa tunapenda ku-blame hali ya hewa kama ndio chanzo kikubwa cha sisi kukosa kuvaa aina fulani ya mavazi au kuya-style namna hio, Moja kati ya vitu ambavyo tunaona wenzetu wanavifanya ili kuonekana stylish ni layering Layering ni ile namna ambavyo unavaa vazi juu…
Styling Deconstructed Shirt For The Weekend
Deconstructed fashion imerudi tena, mwaka juzi na mwaka jana katikati ilikuwepo sana tuliwaona watu maarufu kama Kendall Jenner, Rihanna, kwa Tanzania tulimuona Jokate akiwa ndani ya fashion hii, as we all know fashion come’s and go mwaka huu fashion hii imerudi tena. Deconstructed Fashion ni…
Namna Ambavyo Unavaa Ndivyo Ambavyo Unajisikia Kuhusu Wewe
Tumekuwa tukipata maswali mara mengi na wengine wamekuwa wakiwauliza fashionista’s na stylist vipi wanaweza kuwa wanaonekana vizuri siku zote? ukiachana na kwamba styling is an art lakini namna ambavyo unavaa mavazi yako au unajivalisha inatokana na jinsi unavyo jisikia kuhusu wewe. Unaweza ukawa sio…
5 Wardrobe Essentials You Should Own
Wengi tunashindwa kujua tuanzie wapi na tuishie wapi katika kununua mavazi,na hii inapelekea kuwa na nguo nyingi ambazo haziwezi kujirudia unavaa mara moja hujui uvae wapi tena, well leo tunakuletea vitu 5 muhimu kuwa navyo katika kabati lako ambavyo ni kama msingi wa kuelekea kuwa…
3 Tips Ambazo Stylist Hufanya Kuonekana Tofauti
Umesha wahi kufikiria hawa stylist ambao huwa wana style wenzao wamekuzidi nini? au ni nini wanafanya mpaka wao wawe stylist na walipwe kuwa valisha wengine? lakini pia unaweza kuwaza ni vipi wao kila wanacho vaa wanapendeza? Well kuwa stylist si lazima usomee, styling is an…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…