Je Ni Kweli Mtu Mweusi Haitaji Sunscreen?
Hili ni swali ambalo wengi wetu tunajiuliza je ukiwa mweusi unahitaji suncreen? ambapo wengi wetu tunaamini kwamba kipodozi hiki ni kwa ajili ya wale wenye ngozi nyeupe tu kana kwamba sisi hatajua kilitupiga hakuna kinachobadilika. Leo tunakupa jibu la swali hili, Si kweli kwamba mtu…
Kwanini Unatakiwa Kutumia Sunscreen Unapokuwa Unatumia Anti Aging Products
Kwasasa wengi wetu tuna kimbia kuzeeka, tunafanya mazoezi tunatumia bidhaa ambazo zinafanya ngozi zetu kuonekana kama za vijana japo umri umeshakwenda, well leo tunakuletea hii tip endapo wewe ni mmoja wa wale unaotumia anti aging products. Unapotumia Anti Aging Products unatakiwa kuwa muumini mzuri wa…
Je Unapaka Sunscreen Kabla Au Baada Ya Moisturizer?
Swala la kupaka sunscreen limekuwa swala kubwa sana kwasasa Nchini kwetu na hii inatokana na kwamba hiki ni kitu kipya kidogo kwetu. Wengi tunazo kwasasa na wafanyabiashara wa urembo wengi wamekuwa wakiziongelea na kuziuza. Tulishatoa tips mbalimbali kuhusu umuhimu wa kupaka sunscreen Umuhimu Wa Kupaka…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…