Ramadhani Beauty Looks From Tanzanian Celebrities
Mwezi mtukufu wa Ramadhani umeanza na kama kawaida watu maarufu wengi huwa wanatupa looks za stara katika mwezi huu Mtukufu, kila mmoja anajitahidi kupendeza na looks zake za stara, tumewaona watu maarufu kadhaa wakiwa wamependeza na hijab zao na makeup pia, well ukifunga haimaanishi usipendeze….
Blonde Hair Style Inspiration From Tanasha Donna
Mwanamuziki Tanasha Donna kutoka Kenya amekuwa akitu-serve blonde hair styles back to back. Tanasha ali-debut blonde look yake ya kwanza April mwaka huu & she never went back, seems like what they say about blonde having more fun is true because she been having fun…
Hamisa Mobetto, Tanasha Donna Na Marioo Kwenye Utility Belt Bag Trend
Utility Fashion inarudi kwenye trend zamani kulikuwa na mavazi yanaitwa Timberland ambapo yalikua na mifuko mifuko mingi. Inaonekana trend hii inarudi lakini kwa sasa hivisio tu kwenye mavazi bali na mikoba pia, tumeona wabunifu mbalimbali wakiwa wamebuni vitu kama boilersuits to vests, cargo pants na…
Otile Brown, Tanasha Donna & Juma Jux New Music Cover Review
Week imkuwa nzuri wasanii mbalimbali wametoa nyimbo, yes tunasema week imekuwa nzuri kwa maana na huku kukaa ndani halafu playlist ileile unaweza kuhisi uchizi. Wasanii kutoka Kenya Tanasha Donna ametoa wimbo mpya wakati na Otile Brown yeye ametoa album wakati kwetu Tanzania Juma Jux Ft…
Tanasha Donna On True Love Magazine Cover
Tanasha Donna ni mwanamitindo, mwanamuziki, na ni radio presenter kwa sasa Tanasha ana miaka 25 na ni mama wa mtoto mmoja kutoka kwa mwanamuziki Naseeb Abdul ( Diamond Platnumz). Tanasha ametokea katika cover ya gazeti la True Love Magazine East Africa ambapo ameongela kuhusu uhusiano…
Celebrities Are Living Fresh From The Runway Life
Hatujui kama tuiite trend au ni muamko kutoka kwa watu maarufu, kwa sasa tumeweza ku-spot watu maaruufu wakiwa wamevalia mavazi kutoka kwa wabunifu wa hapahapa Nchini tena yakiwa yametoka straight from the runway. Kwa hii trend/muamko sisi tunaufurahia kwa muda mrefu tumekuwa tukitamani wabunifu na…
Our Two Cents On Tanasha Donna Dress For Naseeb Jr 40
Jana ilikuwa sherehe ya 40 ya mtoto wa mwanamuziki Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) na mpenziwe Tanasha Donna kutoka Kenya. Kama ilivyoada sisi tulikuwa tunaangalia nani amevaa nini? hasa mama wa mtoto ambaye yeye ndio muhusika hasa wa sherehe. Tanasha alipakwa makeup na makeup artist lavie…
Tanasha Donna Maternity Photoshoot
Tanasha Donna ni mwanamuziki, Radio Presenter na Video Vixen kutoka Kenya ambae kwa sasa ni mpenzi wa mwanamuziki maarufu Nchini, bwana Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz. Diamond Platnumz & Tanasha Donna First Red Carpet Appearance Tanasha na Diamod wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…