SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

one one one

Escapade Collection By Martin Kadinda 

Mbunifu Martin Kadinda ameachia collection yake iitwayo Escapade huko Mawemawe Manyara, tumepata muda wa kuongea na kufahamu machache kuhusu collection hii, AFS: The escapade collection-unaweza tuelezea inspiration behind it? Martin: Mostly my collection are inspired by the work of art, from fabric prints, nature and…

Mitindo

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi 

Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer  Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na  hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…

Mitindo

A Tulle Moment From Tanzania Designers 

Tumekuwa tukiona Wabunifu mbalimbali kutoka Nchi za wenzetu wakiwa wanabuni haya mavazi yaliyopewa jina la Tulle, kwetu hakukuwa na designs za aina hii nyingi. Mara nyingi tulikuwa tukiziona kwa mbunifu Jacqueline Wolper lakini week hii tumeona wabunifu wengine wawili wakitoa mavazi ya aina hii. Ambao…