SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Pata Kumjua Stylist Rosemary Kokuhilwa 

Rosemary Kokuhilwa ambae kwa sasa ana yake yapo jijini New York ni moja kati ya stylist wakubwa kutoka Tanzania, Rosemary si tu stylist bali alishawahi kuwa fashion blogger wa fashionjunkii.com, Co – Funder wa Global Fashion Newyork, pia alishawahi kuwa model lakini pia ni makeup…

Mitindo

TOFAUTI YA MBUNIFU,STYLIST NA FUNDI CHEREHANI 

Aug 22, 2016 Tuliandika hili andiko kuhusu wabunifu, washonaji na stylist nini tofauti zao na jinsi wanavyo fanyakazi zao, karibia miaka miwili imepita tumejaribu kutathimini je kuna maendele yoyote yamefanyaka katika hili swala? stylist wanafanya kazi zao vyema kabisa lakini upande wa wabunifu bado tunachechemea, well…

Mitindo

BAIBUI VAZI LA STARA 

Kila kunapokucha mambo yanazidi kubaadilika, teknolojia inazidi kukua , wigo wa Sanaa ya mitindo unazidi nchini Tanzania  na ulimwenguni kote kwani hakuna anaetaka kubaki nyuma katika  ulimwengu wa mitindo . Wabunifu nao wanazidi kushika hatamu kwa kubuni vitu mbalimbali  ilimradi tu kuwafanya watu kuwa na…

Mitindo

Red Carpet Ya Tuzo Za Watu 2015 

Hizi tuzo ndio ulikua mwaka wake wa mwisho kufanyika hatuja zisikia tena, but all we can say hii red carpet ya hizi tuzo ilikuwa ni moja kati ya red carpet bora ambazo tunazikumbuka, kuna watu walio haribu lakini kwa wale waliopendeza walipendeza haswa. Wengi walipania,…

Mitindo

Reviewing Mr Blue’s Video – Mapozi 

Ikiwa tunaona kwa sasa wanamuziki wana jitahidi kufanya video’s nzuri za miziki yao lakini pia kujaribu kuvaa vizuri na kushirikisha stylist, tumeona video ya Mimi Mars – Sitamani ilivyo kuwa nzuri well dressed na ipo clear, tumeona kwanini tusikumbuke zile za zamani, leo katika throw…

Mitindo

Genevieve Nnaji Red Carpet Evolution 

Genevieve Nnaji sio tu ni muigizaji mzuri lakini pia ni moja ya stylish actress kutoka Nigeria, kitu kimoja tunapenda kutoka kwake ni kwamba she is unpredictable, huwezi jua leo atavaa nini her styles & looks changes every day, kuanzia kwenye red carpet, harusini na hata…