Vitu 5 Ambavyo Havikosekani Katika Bag Ya Tiwa Savage
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ambae kwasasa anatamba na wimbo wake wa somebody’s son ameshare vitu vitano ambavyo huwezi kuvikosa katika handbag yake. Katika episode yake ya CATCHING UP WITH TIWA: Episode 1/5, Tiwa ametaja vitu hivyo ambavyo ni cell phone, charging wire, lip gloss,…
Looks Were Served At Tiwa Savage’s Father’s Burial
Kuna aina mbalimbali za utamaduni na kwa wenzetu Nigeria, wana utamaduni tofauti katika misiba kwetu sisi misiba huzuni lakini kwao ni sherehe kubwa tu. Mwanamuziki Tiwa Savage amemzika baba yake jana kwa sherehe kubwa na watu maarufu mbalimbali walihudhuria, well as we all know Nigerian’s…
Tiwa Savage For Allure Best of Global Beauty issue
Tiwa Savage ametokea katika cover ya gazeti la Allure Best of Global Beauty issue, hii ni hatua nyingine kubwa kutoka kwa Tiwa baada ya kuwa featured katika vogue magazine miaka michache nyuma. Account Ya Instagram Ya Tiwa Savage Yaingia Katika 10 Bora Kama Vogue Fashion…
Tiwa Savage, Herieth Paul, Flaviana Matata & Other Africans Serving Lewks At NYFW 2019
Its September na ikifika September ina maanisha kitu kimoja, Fashion Week. Well New York Fashion Week imeanza toka Ijumaa ya tarehe 6, tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wame-attend na hawa ni wachache kutoka Africa ambao tumeona wakiwepo kutuwakilisha. Tiwa Savage is bringing fire on New…
HOT TOPICS
Ya’ll Can Talk About That Wardrobe Malfunction, But What I Want To Know Ni Kwanini Kapaka Mafuta Nusu Mguu Au Ni Ki… https://t.co/CV99NEPX6Y
FollowThis Is How It Looks Like Brand Ambassadors Waki Advertise Skin Care Na Filter Au Makeup Usoni https://t.co/yvzmN1zL7w
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…