What Celebrities Wore On Valentines Day
February 14 dunia husheherekea siku ya wapendanao, ambapo wengi hupokea na kutoa zawadi lakini pia kutoka kwenda kwenye matembezi na kuvalia vyema. Watu maarufu mbalimbali huchukua muda wao kupiga picha na kutuonyesha nini wamevaa kwenye siku hio, na hawa ni baadhi ya ambao tumewaona. fahyma…
How To Look Chic Wearing Dad Sneakers Courtesy Of Toke Makinwa
Dad / Ugly sneakers zili-trend sana mwaka jana 2020, watu maarufu wengi walionekana kuzivalia lakini pia hata wasio maarufu ambao walipenda mtindo huu wa viatu walivinunua. Kama kawaida ya trend huwa inakuja na kuondoka kwa sasa hazionekani sana, lakini kama unavyo kabatini haimaanishi usivivae kwa…
Jacqueline Mengi, Elizabeth Michael And Toke Makinwa In Organza style dress
Its Furahi day na kama kawaida huwa tuna Friday Fashion Battle Field. Leo tupo na Mwanamitindo Jacqueline Mengi, Muigizaji Elizabeth Michael Na Radio Personality kutoka Nigeria Toke Makinwa wakiwa wamevalia hii Organza style dress. Kwa wale mnaojiuliza organza ni nini hii ni combination ya fabrics…
Mshono Wa Kitenge Unao-trend
Kitu kimoja kuhusu kitenge ni huwa hakipitwi na wakati kama ambavyo zilivyo fabric nyingine kama polka dot, stripes kitenge kipo toka enzi na enzi na kinashonwa kutokana na era iliyopo. Leo tunawaangalia watu maarufu mbalimbali ambao wao wametuonyesha namna ya kuvaa kitenge kwa mshono huu…
Toke Makinwa Alivyotumia Scarf Ku-Upgrade Outfit Zake
Mwanadada Toke Makinwa ni Nigerian radio personality, television host, vlogger, lifestyle entrepreneur na author, Ukiachana na hivyovyote Toke ni slayer. Mara zote ukimuona na outfit zake hayupo boring anajua namna ya kujipangilia. kwa sasa amezindua bidhaa yake ya scarf’s na amekuwa aki-post mavazi yake akiwa…
Toke Makinwa Avaa Fendi Leggings Zenye Thamani Ya 2,541,000/
Ukisikia rich auntie vibes ndiyo hii sasa. Wakati wengi wetu tunasema hatuwezi kununua leggins za bei ghali well Toke on the other side is saying why not? Toke alipost hizi picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa amevalia leggings za kampuni ya Fendi ambazo zina…
Toke Makinwa Na Mbunifu Tolu Bally Wategemee Kupelekwa Mahakamani Na Versace
Imekuwa kawaida sasa kwa wabunifu kuwa wana copy-iana kazi zao, sikuhizi hatuiti copying bali tunasema kuwa inspired, hivi karibuni brand ya Versace imewashtaki brand ya Fashionnova kwa ku-copy hili gauni ambalo ni Iconic dress kutoka katika brand yao. Fashionnova Yashtakiwa Na Versace Kwa Kucopy J…
Red Carpet Worthy Looks From Last Week
Okay ni jumatatu nyingine tena na kama kawaida huwa tunawaletea highlights za week iliyopita, week hii tumeenda global na kuona wenzetu wamefanya nini huko Nchi nyingine. Kulikuwa na events mbalimbali ambapo tumetoa looks zilizotuvutia. Mbunifu na fashionista kutoka Ghana Nana Akua Addo won our hearts…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…