Artistic Looks From Amvca 2022
Baada ya kuona best looks kwenye Amvca 2022 tumeona tuwaletee hizi looks ambazo zenyewe zilikuwa kisanii zaidi, yaani zilibuniwa kwa namna ya tofauti kuna ambazo zilikuwa nzuri na kuna ambazo zilikuwa nope, asilimia kubwa ya looks hizi tumeona kuna ambao walikuwa inspired na looks za…
Is Toyin Lawani Crossing The Thin Line Between Fashion And Religion?
We all know kuna ule mstari mwembamba kati ya mitindo na dini ambao hatutakiwi kuuvuka. Nigerian stylist na mfanyabiashara Toyin Lawani ameonekana kuuvuka mstari huu na kuvaa mavazi ambayo ni ya dini kwa namna tofauti iliyowakera wengi. Katika movie premiere ya prophetess ambapo theme ya…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…