Men Palazzo Trend
Phew its about time kaka zetu wanapumua na skinny jeans ilikuwa too much kwa kweli, maana ilifika kipindi unakuta mwanaume kavaa skinny jeans mpaka unajiuliza je damu inatembea kweli mwili maana mishipa itakuwa imebanwa na nguo. Kwa sasa tumeona trend mpya ni palazzo, hizi ni…
Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa
Kiatu ni moja kati ya kiungo muhimu kabisa katika kukamilisha muonekano wa mavazi yako, na kuonyesha kwamba hiki kiungo ni muhimu basi kama ukikosea ukakipunguza muonekano wako mzima unaharibika. Moja kati ya viatu vinavyopendwa Duniani ni Nike Air Force kutoka kwa Brand ya Nike, viatu…
Jinsi Tuxedo Dress Ilivyovamiwa Na Mastaa
Tuxedo dress ni moja ya essentials ambazo kila mwanadada ana paswa kuwa nayo na hii ni kutokana na kwamba ni rahisi kui-style lakini pia ina fit kila mahali, iwe casual,smart au business wear. Juma hili tumeona mastaa mbalimbali wakiwa wamevalia vazi hili wakiwa wana hudhuria hafla…
The Belted Suit/Blazer Is Taking Over
Kama utakuwa umenotice suit hasa kwa wanawake ina trend sana mwaka huu, na hasa colorful suit. Lakini pia ni jinsi ambavyo koti la suit linavyo kuwa accessorized na belt. Tumependa style hii hasa kutokana na mambo makubwa matatu koti la suit huwa halifit vizuri kiunoni…
Shanga Inavyo Chukua Nafasi Katika Urembo
Toka movie ya Black Panther itoke ni kama ime tu-boost wa Africa kama ume notice kwa sasa watu maarufu wengi wanajaribu kutukuza tamaduni zetu,hasa kupitia mavazi na urembo. Watu kama WCB siku hizi wanavaa sana vitenge, lakini pia Wema Sepetu, Jacqueline Wolper uko Nchi za…
Skirt Over Pants
Hii ni trend nyingine ambayo imechukuliwa kutoka miaka ya 80 na 90 ambapo suruali ilikuwa inavaliwa ndani na skirt au gauni kwa juu, inaonekana trend inarudi as tumewaona watu maarufu mbali mbali wakiwa wamevaa style hii. The famous one ni hii suruali ya jeans ambayo…
The Off White Industrial Belt
Kama kuna kitu tume notice ni kwamba huu mkanda wa off white industrial belt una trend sana kwa sasa, karibu kila star amevaa huu mkanda kuanzia Beyonce, Travis Scott na wengine wengi. Tuli unotice huu mkanda mara ya kwanza pale ambapo fashionista walikuwa wanaanza hii…
The Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa
Upande ambao Fashion inaelekea ni very strange, jinsi ambavyo kitu kinakuwa kibaya ndivyo kinavyo bebwa kwamba ni stylish. The ugly sneakers ni kama “the dad jeans” au “mom jeans” zile jeans za zamani wamama na wa baba walikuwa wanavaa,sasa hivi vimekuja viatu vya wababa hizi…
Makeup Artist Wanakuletea Trend Mpya Ya Nsyusi Mkia Wa Samaki (Fish Tail Eye Brows)
Inaonekana makeup artist wanaendelea kutuletea trends mbali mbali mwaka huu pia, mwaka jana tuliona Christmas tree eye brows na squiggle brows tukajua hizi funny trends zitaishia 2017, lakini to our suprise tumeingia nazo mwaka 2018 tena mwaka huu zimeanza mapemaa, well ukiingia katika mitandao ya…
A Fur Shawl Is A Must Have On Your Accessory Collection
Kuna accessories nyingi mno duniani, lakini kuna zile ambazo ni nadra kuziona zikitumika mara kwa mara labda ni kutokana na hadhi yakeau hutumika msimu kwa msimu, Yes kuna scarf, fur coats mara nyingi hutumika msimu wa baridi lakini pia kuna accessories nyingine ambazo hutumika msimu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…