Nana Akua Ado Strikes Again In Glitz Fashion Week
Nana Akua Ado ni actress na fashionista kutoka Nchini Ghana, Nana amekua aki-serve mitindo ya aina tofauti na ya kitofauti tunaweza kusema ni moja kati ya fashion icons kutoka Africa. Nana Aki-attend kwenye event yoyote lazima aache mark kutokana na mavazi yake. Muigizaji Kutoka Nigeria…
Cutout Side Blazer Trend
Bye boring blazer and hello cutout side blazer’s’ ikiwa kwa muda mrefu vazi la blazer limekuwa likibadilishwa tu vifungo na rangi inaonekana wabunifu wamekuja na namna mpya ya kuli-modify, yes sasa tunaweza kuvaa blazer na kuonyesha skin at the same time. Tumespot hii trend ambayo…
Fashion Trend Za Kuongeza Katika Kabati Lako Kabla Ya 2020 Haijaisha
2019 ulikuwa mwaka mzuri kwa fashion na trend nyingi za mwaka huu zilianza nwaka jana. Elegance is about being classy, japokuwa tunapenda kuwa na vitu classy katika kabati. Ni vyema kuongeza piece kadhaa zinazoendana na wakati ili kuchangamsha muonekano. Kumekuwa na trends nyingi zilizotawala mwaka…
Men Palazzo Trend
Phew its about time kaka zetu wanapumua na skinny jeans ilikuwa too much kwa kweli, maana ilifika kipindi unakuta mwanaume kavaa skinny jeans mpaka unajiuliza je damu inatembea kweli mwili maana mishipa itakuwa imebanwa na nguo. Kwa sasa tumeona trend mpya ni palazzo, hizi ni…
Stylish Trends That Could Happen Faster Than You Think
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nam laoreet, nunc et accumsan cursus, neque eros sodales lectus, in fermentum libero dui eu lacus. Nam lobortis facilisis sapien non aliquet. Aenean ligula urna, vehicula placerat sodales vel, tempor et orci. Donec molestie metus a sagittis…
Is Ombre Hair Style Is Out Of Fashion?
Vestibulum ante ipsum primis in faucibus orci luctus et ultrices posuere cubilia Curae; Proin mattis, erat at ultrices aliquam, turpis nisi rutrum erat, eu finibus felis nisl ultricies mi. Aliquam quis interdum dui. Vivamus mattis bibendum dolor, vel varius ante facilisis at. Maecenas molestie vestibulum…
Interview Of Beginner Urban Style Model & Blog Diva
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nam laoreet, nunc et accumsan cursus, neque eros sodales lectus, in fermentum libero dui eu lacus. Nam lobortis facilisis sapien non aliquet. Aenean ligula urna, vehicula placerat sodales vel, tempor et orci. Donec molestie metus a sagittis…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…