SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

Idris Sultan MisMatched Shoes Saga 

Muigizaji, mchekeshaji, radio host na mshindi wa  Big Brother Africa-Hotshots, 2014 Idris Sultan amekuwa gumzo huko mitandaoni kutokana na uchaguzi wake wa viatu katika hafla ya Uwekezaji Day 2023 amabyo iliandaliwa na bank ya CRDB. Idris alikuwa moja kati ya waalikwa katika hafla hio na…

Mitindo

Platform Heels Are Having A Moment 

Mnakumbuka layzon vile viatu vina sole kubwaa walikua wanavaa zamani? Well zimerudi kwenye trend lakini this time zikiwa modified vizuri na kuweza kuvalika kisasa.Tunachopendea hii trend ni kwamba ata ambae hawezi kuvaa viatu virefu anaweza kuvaa hivi viatu maana sole yake ni pana inakuwezesha kutembea…

Mitindo

Irene Uwoya Spotted In Fendi First Bag & Shoes 

Tumemuona muigizaji Irene Uwoya akiwa amevalia set ya Fendi First Bag & Shoes, Bidhaa hizi kutoka fendi zimekuwa debuted katika Fendi’s Fall/Winter 2021 Ready-to-wear Collection mapema mwaka huu. Na kwa utabiri wa fashionista’s wengi hizi bidhaa za Fendi zitaishika dunia kama ambavyo tuliona Bottega Bags &…

Mitindo

The Ankle Wrist Bag Trend 

Ukiachana na anklets, henna na tattoo kulikuwa hakuna namna nyingine ambayo unaweza ku-accessorize mguu wako lakini kwa sasa imeonekana unaweza kuvaa hizi ankle wrist bag na ukapendezesha mguu wako vizuri tu. Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend Hii trend tumeiona kwa…

Mitindo

Bottega Veneta Wrap-tie Mesh pumps 

Bottega Veneta wamekuwa wakitoa trending products back to back, zilianza handbags na sasa ni hivi viatu ambavyo ni Wrap Tie Mesh Pumps, viatu hivi vinauzwa USD 930 sawa na TSH 2,156,863.44. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia hivi viatu akiwepo Rihanna, Nicki Minaj, Toke Makinwa,…

Mitindo

A Chop Or Drop Maison Margiela Tabi Boots 

Wabunifu wanaendelea kuwa inspired na vitu mbalimbali, miaka ya 1980, ambapo Maison Margeila alitengeneza hivi viatu akiwa inspired baada ya kutoka Trip, Japan. Japo kiatu hiki kimebuniwa miaka mingi nyuma bado kinaonekana kuwa iconic na kuendelea kuwepo kutoka na utofauti wake. Hiki kiatu kina split…