How To Level Up Your Tee & Jeans Look
Umeshawahi kuangalia mionekano casual ya watu maarufu wamevaa tu t-shirt na jeans lakini wakawa wamependeza ukajiuliza how do they do it? unaweza kukuta wamevaa t-shirt tu nyeupe na blue jeans hata wewe unazo lakini wao waka-stand out, ukabaki unajiuliza wewe unakosea wapi? Leo tunakuletea tips…
Laura Ikeji Showing Us How You To Repeat Outfit In Style
Inawezekana wewe ni mmoja wapo ambae umezoea kuvaa nguo fulani namna moja yaani kama ni suit basi utavaa suit na koti lake kwa namna hio mara nyingi mpaka watu wakuchoke au wewe mwenyewe ujishtukie. Kama una tatizo hili basi utakuwa unajikuta unalalamika huna nguo au…
How Transform An Outfit With Little Touch’s
Weekend Imefika na as usual weekend huwa tunapenda kuwa kwenye casual na comfortable fits. Lakini hii haimaanishi outfit yako iwe bore, umeshawahi kufikiria ni vipi watu maarufu wanavaa tshirt na jeans lakini wanapenda mno? basi leo tunakupa tips za nini unaweza kufanya ku-transform outfit yako….
Njia Za Kuboresha Muonekano Wako
Wakati mwingine unataka kuvaa simple, hutaki kuwa na na vitu vingi mwilini. Lakini hii haimaaniishi uvae boring outfit, kuna vitu vichache ambavyo unaweza kuongezea ili upate muonekano simple lakini ulio stylish. Look Expensive For Less Mfano mzuri ni kama Mboni Masimba hapa akiwa amevalia kijora…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…