SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Jinsi Ya Kuboresha Urembo Wako 

Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na tamaduni za mahali husika. Wako wanaoamini kuwa mrembo ni lazima awe na ngozi nyeupe, wengine hudhani kuwa ili kuonekana mrembo,…

Urembo

Faida Za Brokoli Kwa Afya Na Urembo 

Broccoli ni aina ya mbogamboga ambayo inataka kufanana sana na kabeji, lakini yenyewe majani yake huwa na muonekano wa kijani sana tofauti na ilivyo kwenye kabeji.Vile vile ni tofauti na Cauliflower, cauliflower ni nyeupe Wakati broccoli ni ya kijani.  Mara nyingi mbogamboga hii hutumiwa sana…

Skin Care

Faida Za Giligilani “Coriander” Kwenye Urembo 

Giligiliani ni kiungo cha kawaida sana,wengi tunakitumia jikoni kwenye mapishi mbalimbali,Kinaharufu nzuri na ladha ya uchachu kwa mbali.Majani na mbegu za giligiliani vyote hutumika kama viungo jikoni.Giligiliani inawingi wa Vitamini A, B6, C,B12,pia ina wingi wa madini chuma(iron),Calcium na Magnesium. Giligiliani inasifika kwakua dawa na…