Jinsi ya kutunza Ngozi Inayozunguka Jicho Lako
Jee Wajua? Ngozi inayozunguka jicho ni laini zaidi ukilinganisha na ngozi ya uso wako wote. Najua ulikuwa hutambui kuhusu hili na Umetoka kujigusa ndani ya dakika chache. Nina uhakika umehakikisha kwa mikono yako! Hizi hapa ni dondoo muhimu Jinsi ya kutunza Ngozi inayozunguka jicho lako. …
Namna Ya Kuondoa Weusi Wa Macho “Miwani /Puffy Eyes )
Weusi chini ya macho unasababishwa na mambo mengi ikiwamo kukosa usingizi wa kutosha. Binadamu anatakiwa kulala masaa yasiyopungua 6 hadi 8, kuhakikisha ubora wa afya na Ngozi yake. KULALA na kupumzika ni muhimu kwa kuwa na afya nzuri na muonekano mzuri. Hata hivyo, aghalabu huwa sio…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…