Sababu 6 Kwanini Kipodozi Chako hakifanyi Kazi Ipasavyo
Umeshawahi kujiuliza kwanini kipodozi chako hakifanyi kazi ipasavyo? Na unatamani kuachana nacho na kutafuta kipodozi kingine? Well DON’T kuna sababu nyingi sana aambazo huchangia kipodozi kisifanye kazi yake vizuri. Leo tutaongelea sababu hizo. Kutokutumia Kipodozi Ambacho Kina-regimen za aina ya ngozi yako Hapa ndipo unakuja…
Jinsi ya kutunza Ngozi Inayozunguka Jicho Lako
Jee Wajua? Ngozi inayozunguka jicho ni laini zaidi ukilinganisha na ngozi ya uso wako wote. Najua ulikuwa hutambui kuhusu hili na Umetoka kujigusa ndani ya dakika chache. Nina uhakika umehakikisha kwa mikono yako! Hizi hapa ni dondoo muhimu Jinsi ya kutunza Ngozi inayozunguka jicho lako. …
Scrub Ya Kuondoa Ngozi Iliyokufa Katika Ngozi Ya Uso Na Shingo
Uso na shingo ni sehemu ambazo zinakuwa exposed sana na jua au hali ya hewa yoyote kuliko sehemu nyingine za mwili. Usipokuwa makini na kuzijali basi zinaweza kuwa na muonekano wa tofauti na sehemu nyingine za mwili. Ngozi ilikufa inatokana na nini? Umri kutokusafisha ngozi…
Je Nahitaji Kutumia Towel / Taulo Tofauti Mwilini Na Usoni?
Tunatumia muda mwingi katika kuhakikisha ngozi zetu zinakuwa nzuri, unakuwa na skin care routine, unaosha uso wako vyema lakini bado utakuta matokeo hayawi vile ambavyo unategemea kumbe kuna baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo vinasababisha hili kimoja wapo ikiwa ni Taulo, Khanga, Kitenge au kitu…
Boresha Muonekano Wa Ngozi Yako Kwa Kutumia Yai
Jinsi ya kufanya ukitaka kutumia yai kuboresha mwonekano wa ngozi: Chukua yai, changanya na asali kijiko kimoja cha chai, na mafuta ya Olive. Chukua mchanganyiko huo kisha paka usoni na shingoni; kaa hivyo kwa dakika 15. Hii itasaidia kama una mashimo usoni yanayotokea chunusi zinapochubuka….
Jinsi Ya Kutumia Ndizi Kwenye Urembo
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama ‘sucrose’, ‘fructose’ na ‘glucose’. Hakikisha unanawa uso wako mara mbili kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu,Ndizi pia husaidia kuzuia…
Indian Home Remedy Inayoweza Kukusaidia Kuondoa vichwa vyeusi “blackhead”
Asili ya home remedy hii ni India. Ni nzuri kuondoa vichwa vyeusi “blackheads” Blackheads /Closed comedone ” vichwa vyeusi” Ni Aina ya Chunusi ambayo hutokea baada ya kuongezeka kwa sebum na Ngozi iliyokufa. Kama katika kuongezeka huku kwa sebum na seli za ngozi zilizokufa, kijitundu cha…
Facial Treatment Kutumia Vitu Vya Jikoni
Uzuri wa ngozi sio rangi tu bali ni muonekano wa ngozi yenyewe kwamba ina afya na mng’ao unaoashiria afya njema.Leo jifunze jinsi ya kufanya facial treatment kwa kutumia vitu vya jikoni kama kiini cha yai,machicha ya nazi,tango na limao. Facial hii inaweza kufanyika Mara moja…
Jinsi Ya Kutumia Tango Kuilainisha Ngozi
Tango ni tunda muhimu sana katika kusaidia afya na uzuri wa ngozi. Unaweza kula tunda lenyewe, kupaka juisi yake, kugandika vipande vyake vidogo vidogo au kunywa juisi yake. Njia zote hizo zinakusaidia kupata virutubisho muhimu kwa ngozi yako. Tango husaidia sana kulainisha ngozi na kuikaza…
Jinsi Ya Kutunza Ngozi Yako Wakati Huu Wa COVD19
Mlipuko wa ugonjwa wa Corona ( COVD 19) umeathiri Mataifa mbali mbali ikiwemo Tanzania. Hali hii imesababisha ratiba na mwenendo wa maisha kubadilika. Hapa chini tunakuletea jinsi unavyoweza kutunza ngozi yako wakati huu wa COVD-19 Kaa mbali na Msongo wa Mawazo.Ugonjwa wa Corona upo, unatia…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…