SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Njia Za Kutunza Nywele Wakati Unanyonyesha 

Wanawake wengi wanakuza nywele zao vizuri kipindi cha ujauzito na zinakua vizuri lakini mara baada ya kujifungua nywele zinakatika hasa katika kingo za mbele (edges) hii ni kama desturi, Na kuzikuza kurudi zilivyokuwa huwa inachukua muda kidogo, lakini kuna namna ambavyo unaweza kutunza/kujali nywele zako…

Urembo

Njia Ya Kuondokana Na Ukavu Wa Nywele 

Kama una nywele natural / za asili utakuwa unajua shida ya hizi nywele kukaa na unyevu au kuwa na mafuta wakati wote. Nywele zetu za kiswahili ni kavu na zinanyonya sana mafuta. Hii method inasaidia kuzipa nywele zako unyevu unaotakiwa. Wengi tukishaosha nywele tunapaka tu…

Urembo

Faida Za Red Wine Katika Ngozi Na Nywele 

Hakuna kitu kina kufanya ujisikie vyema baada ya siku ndefu na uchovu kama kukaa sehemu tulivu ukiwa unakunywa mvinyo (wine), ukiachana na kukufanya u-relax lakini pia mvinyo unafaida katika nywele na ngozi yako. Leo tunakupa faida 5 unazozipata kutokana na kunywa red wine. Kupambana na…

Hair

Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele 

Inawezekana unatumia pesa nyingi katika kununua products za nywele lakini bado unaona matokeo sio mazuri au yanachelewa kujionyesha, hii inawezekana ni kutokana na kitambaa cha mto au shuka unalolalia. Mito au mashuka ya cotton huwa yananyonya mafuta kwenye nywele lakini pia kuzifanya ziwe fizzy na…

Urembo

Je Ni Sawa Kuosha Wig Lako Kwa Kutumia Champagne 

Well mwaka 2018 trend ya kuosha nywele kwa kutumia kinywaji cha champagne iliingia sana ambapo tulimuona Instagram star Madina Shrienzada  akiwa anaosha nywele zake kwa kutumia Champagne na kwa kunukuu alisema ” IY SHINY 😻HAIR🥂USING CHAMPAGNE 🥂 TO RINSE YOUR HAIR! 🎂Sooo I TESTED THIS…