How African Celebrities Slayed Valentines Looks
Jumanne ilikuwa siku ya wapendao na watu maarufu wengi walitumia siku hii kuwatakia wafuasi wao valentines njema huku wakionyesha mavazi waliyovaa siku hio na wengine ambao waliamua kufanya photoshoot kabisa. Well tumeona watu maarufu wengi kutoka Africa wakiwa wamependeza na mavazi yao, Nchi ambazo tumeona…
Ladies In Red For Valentines
Love season is in the air, tarehe 14 February ni siku ya wapendano ambapo huwa inaidhimishwa kila mwaka, na kwasababu hii wengi huchagua kuvaa rangi nyekundu kwakuwa inaaminika ni rangi ya upendo. Well watu maarufu mbalimbali wameonekana kufanya photoshoot kwa ajili ya siku hii na…
What Celebrities Wore On Valentines Day
February 14 dunia husheherekea siku ya wapendanao, ambapo wengi hupokea na kutoa zawadi lakini pia kutoka kwenda kwenye matembezi na kuvalia vyema. Watu maarufu mbalimbali huchukua muda wao kupiga picha na kutuonyesha nini wamevaa kwenye siku hio, na hawa ni baadhi ya ambao tumewaona. fahyma…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…