Hii ni review yetu ya kwanza toka mwaka 2020 uanze, ni video mpya kabisa kutoka kwa mwanamziki Ommy Dimpoz akiwa amemshirikisha mwanamuziki Nandy. Tumechagua kuwa review yetu ya kwanza sababu kwa ambavyo tunajua hii ni video ya muziki kutoka toka mwaka huu uanze. Wimbo una…