Beauty Brands Tanzania Tuwe Realistic
Mwaka huu tumeona maendeleo mengi katika ukuaji wa makampuni hasa ya vipodozi Nchini kwetu, tumeona watu mbalimbali wakianzisha kampuni zao za vipodozi na tunaweza kusema hii ni hatua kubwa mno. Lakini kuna jambo moja ambalo linatu-disappoint nalo ni kupaka makeup kwenye matangazo yao huku wakiwa…
Kwanini Upake Vipodozi Kwa Mpangilio Maalum
Inawezekana unavipodozi ambavyo vinafanyakazi vizuri tu lakini huoni matokeo mazuri katika ngozi yako, hii hutokana na sababu mbalimbali lakini sababu moja wapo ni kutokupaka vipodozi hivi kwa mpangilio mzuri. Kutokana na ushauri wa wataalamu “Inatakiwa uanze kupaka vipodozi ambavyo ni light weight ( vyepesi) ili…
Umuhimu Wa Kusoma Lebo Katika Vipodozi
Wengi wetu tunatumia vipodozi mbalimbali katika ngozi zetu, iwe kwa kuondoa kitu fulani au kukifanya kiwe bora zaidi. Imezoeleka kuwatunanunua vipodozi hivi kwa mazoea iwe kwa kuambiwa au kushauriwa na dakitari. Mara nyingi huwa tunasahau kusoma lebo na kuona hakuna umuhimu kwa sababu tu kipodozi…
Mambo Matatu (3) Ya Kuzingatia Ili Kupata Kipodozi Kinachoifaa Ngozi Yako
Kuchagua kipodozi sahihi ni jambo la muhimu katika swala zima la kutunza afya ya ngozi zetu. Kitu chochote tunachopaka kwenye ngozi ni muhimu zaidi ya vile tunavyo fikiri. Baadhi ya watu huchagua kipodozi kwa nia ya kutatua matatizo fulani ya ngozi zao, huku wengine huchagua…
Sababu 6 Kwanini Kipodozi Chako hakifanyi Kazi Ipasavyo
Umeshawahi kujiuliza kwanini kipodozi chako hakifanyi kazi ipasavyo? Na unatamani kuachana nacho na kutafuta kipodozi kingine? Well DON’T kuna sababu nyingi sana aambazo huchangia kipodozi kisifanye kazi yake vizuri. Leo tutaongelea sababu hizo. Kutokutumia Kipodozi Ambacho Kina-regimen za aina ya ngozi yako Hapa ndipo unakuja…
Pata Kujua Tofauti Ya Matatizo Ya Ngozi Kati Ya Wanaume Na Wanawake
So kuna hii meme vile imetrend sana na kwa vile tuko obsessed na skin care tuongelee hiyo imekaaje,meme hio inalinganisha mwanaume ambae anatumia taulo yake kufutia kila kitu na akiweka usoni haina shida ila kwa mwanamke ambae ana stick skin care routine yake bado chunusi…
Jua Toauti Ya Vipodozi Organic Na Natural
Kila asubuhi wanawake wengi yumkini na wewe unaesoma hapa unaweza kuwa mmoja wao huamka na kupaka vitu tofauti tofauti mwilini. Kile ambacho wengine hawaachi kufikiria ni nini wanaweka kwenye ngozi yao. Vipodozi vingi sana na bidhaa za utunzaji wa ngozi leo zimejaa viambata vyenye kemikali…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…