SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Behind The Brand: Designed By Shuu 

Kwasasa ni mmoja kati ya wabunifu ambao wanafanya vyema katika upande wa kubuni mavazi ya harusi, Designed By Shuu sio jina geni masikioni mwa wengi, ameshawavalisha watu maarufu mbalimbali na mara nyingi kazi zake ni za kueleweka Shuu akiwa kama mbunifu wa mavazi ya harusi…

Mitindo

Behind The Brand: Bijoux Trendy 

Don’t you love it umeenda dukani ukakuta muuzaji amependeza? Ni kama assurance kwamba anajua anacho kifanya. Yes leo kwenye behind the brand tuko na mbunifu na fashionista Bijoux moja kati ya wabunifu wanaofanya vyema & unproblematic Bijoux hajaanza jana au leo kuwa katika tasnia ya…

Mitindo

Behind The Brand: Mgece Cici 

Inawezekana umeshalisikia hili jina kwa muda mrefu na hujui ni nani yupo nyuma yake, Mgece Cici ni moja kati ya wabunifu wakubwa sana Nchini lakini ni mbunifu ambae anapenda kuacha kazi yake ionge kuliko yeye kuonekana kwenye kazi yake. Ukiachana na kuwa mzuri kwenye kazi…

Habari

Kuna Tofauti Kubwa Kati Ya Kutengeneza Na Kuunda 

Kupitia Account yake ya Instagram Mbunifu wa mwanamuzi Juma Jux, Mgombelwa Brand awataka wabunifu wenzie kujua tofauti ya kutengeneza na kuunda, mbunifu huyo ambae alipost video ya Jux akiwa amevalia vazi alilolibuni kwakutumia hereni na leather huku akiandika maneno haya Well Afromates tulishamuona Harmonize akiwa…

Mitindo

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi 

Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer  Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na  hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…