Kuna Tofauti Kubwa Kati Ya Kutengeneza Na Kuunda
Kupitia Account yake ya Instagram Mbunifu wa mwanamuzi Juma Jux, Mgombelwa Brand awataka wabunifu wenzie kujua tofauti ya kutengeneza na kuunda, mbunifu huyo ambae alipost video ya Jux akiwa amevalia vazi alilolibuni kwakutumia hereni na leather huku akiandika maneno haya Well Afromates tulishamuona Harmonize akiwa…
Kunauhitaji Wa Elimu Ya Biashara Kwa Wabunifu Na Wanamitindo Wa Tanzania
Hatudhani kama inabidi kilakitu kinahitaji kuongelewa kwa Tasnia ya urembo na mitindo Tanzania ndio tuamke na kuanza kuyafanyia kazi, ilikuwa kilio cha wabunifu na wanamitindo kwa wasanii kuwatumia katika kazi zao. Kilio kimesikika na sasa tunaona kwenye video music za Tanzania wanamuziki wanatumia mavazi ya…
Yaliyojiri katika usiku wa Style & Fashion
Usiku wa Style & Fashion ndio tuliokuwa tunausubiri hasa kujua kina nani watapanda kwenye majukwaa ya Sanaa Fashion 2016. Hatimaye jana tukapata kufahamu kitendawili hiki kilicho kosa majibu kwa kitambo kidogo. Ilikuwa jana pale Atriums Hotel ambapo tulipata kushuhudia warembo na mahandsome kwenye ubora wao…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…