Kwanini Tunasikia International Models Wale Wale Kila Mwaka?
Tunadhani since tumeanza blog na wale tulio wakuta kuna models wachache sana ambao wanasikika au wanaandikwa International hawa ni wale ambao waliwahi kuwa Ma Miss eidha miss Tanzania au Miss Universe, kuna watu kama Hapiness Magesse, Tausi Likokola, Miriam Odemba na Herieth Paul hawa wote…
Kunauhitaji Wa Elimu Ya Biashara Kwa Wabunifu Na Wanamitindo Wa Tanzania
Hatudhani kama inabidi kilakitu kinahitaji kuongelewa kwa Tasnia ya urembo na mitindo Tanzania ndio tuamke na kuanza kuyafanyia kazi, ilikuwa kilio cha wabunifu na wanamitindo kwa wasanii kuwatumia katika kazi zao. Kilio kimesikika na sasa tunaona kwenye video music za Tanzania wanamuziki wanatumia mavazi ya…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…