SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

MJUE CLASSIC MAN 

Asante kwa muimbaji Jidenna  kwa wimbo wake “Classic Man” sasa kila mwanaume ana hash tag, ni vizuri kwa wanaume nao kujisifia mara moja moja lakini sio tu ujisikie bali ina takiwa ufanye na vitendo pia kuwa “classic man” sio maneno tu bali una hitaji “confidence,…

Mitindo

KUKUA KWA MITINDO YA KIISLAMU 

Kampuni ya Mavazi ya Abaya Addict. Ni moja kati ya kampuni za mitindo ya kiislamu zinazokuwa kwa kasi kubwa. Kampuni hiyo ambayo makazi yake ni Dubai katika Falme za Kiarabu. Ubunifu huu wa Abaya Addict unatarajia kujaza nafsi zote zilizowazi zinazoachwa na wanamitindo mbalimbali ambao…