SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Menina Giving Us Wedding Dress Inspiration 

Menina amesheherekea 40 ya mwanae hivi karibuni, na gauni alilovaa limekuwa topic kidogo kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema ame-over dress, lakini kwetu we say Go Big Or Go Home sis slayeed. Best And Worse Dressed Celebs From Last Week  Menina alivalia hii detached…

Mitindo

Zuchu Ending The Year In Mahaumes Red Dress 

Leo ndio siku ya mwisho ya mwaka 2020, phew finally a new phase & new goals. Well mwanamuziki kutoka katika brand ya Wasafi ameona asituache tumalize mwaka bila ya kutuaga, Zuchu ameonekana kwenye hii mermaid dress kutoka kwa mbunifu Mahaumes. Zuchu aliacha gauni iongee alivaa…