Namna Ya Kuslay Kama Bi Harusi Bila Ya Kufilisika
Unaolewa hivi karibuni na una stress za uvae nini bado hujapata pesa za ukumbi, vyakula,vinywaji etc. Well unaweza kupendeza ukiwa katika budget ambayo haiumizi sana. Jaribu Kutumia Wabunifu Wapya Ikiwa wabunifu ndio wanaanza bei zao huwa reasonable hataki faida kubwa yeye anachojali afanye kazi nzuri…
Wedding Reception Dresses Ideas Kutoka Kwa Pearl Thusi
Pearl Thusi ni Muigizaji, Mwanamitindo na Mtangazaji kutoka South Africa, ni moja kati ya fashionista’s anaefuatiliwa zaidi Nchini humo na Nje ya Nchi. Kutokana na kazi zake Pearl Thusi amekuwa akipewa deals mbalimbali za kutangaza katika event kubwa mbalimbali na hapa sisi ndipo huwa haletagi…
Menina Giving Us Wedding Dress Inspiration
Menina amesheherekea 40 ya mwanae hivi karibuni, na gauni alilovaa limekuwa topic kidogo kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema ame-over dress, lakini kwetu we say Go Big Or Go Home sis slayeed. Best And Worse Dressed Celebs From Last Week Menina alivalia hii detached…
Mid Week Slayage From Nancy Sumari, Lavie Makeup, Lulu Diva & Lillian Kamazima
Oh Well Oh Well, seems like fashion Santa ameitembelea Tanzania mapema kabisa, week hii tumeona watu maarufu wakiwa wamependeza mno. Na wote walionekana kuchagua jumatano kama siku yao ya ku-post mitoko yao. Former Miss Tanzania Nancy Sumari alionekana kwenye hii sequin dress, its a full…
5 Photos Kutoka Katika Harusi Ya Williams Uchemba
Muigizaji na mchekeshaji kutoka Nigeria Williams Uchemba amefunga ndoa hivi karibuni, na tunaweza kusema Williams na mkewe Brunella Oscar didn’t come to play. Kila outfit ilikuwa bomb zaidi ya iliyopita, they just did it effortlessly. unaweza kuangalia picha zao hapo chini na kupata idea ya…
Elizabeth Michael In Elisha Red Label Wedding Dress
Wengi tumekuwa tukisubiri kuona Elizabeth Michael atavaa nini kwenye harusi yake as we all know anapenda sana kupendeza hasa kwenye harusi za wengine, juzi Elizabeth alitu-surprise na gauni ya harusi kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label. Kabla hujaanza kujiuliza kama kaolewa au lah, hajaolewa ni…
Fahvanny Serving Bridal Dress For Her Birthday Photo shoot
Nani amesema kuvaa au kufanya photoshoot ukiwa umevalia bridal dress ni lazima uwe unafunga ndoa? Siku hizi we are serving it by fire by force… we cant keep on waiting for a wedding what if it wont happen? Well mwanadada Fahyma amesheherekea siku yake ya…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…