SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Best Dressed Celebrities From Last Week 

Week iliyopita kulikuwa na sherehe mbalimbali kuanzia sikukuu ya Eid, Birthday’s na harusi, watu maarufu walihudhuria shughuli mbalimbali na wengi wao walivaa kwa kupendeza. Leo tunakuletea wale ambao tuliona wamependeza na unaweza kuiga mshono kutoka kwao Tumemuona muigizaji Elizabeth Michael ambae alishehereka 28th Birthday yake…

Plus Fabulous

Pata Kumjua Designed By Shuu 

AFS: Tukufahamu Kwa Ufupi? Shuu: naitwa designed by shuu AFS: Kwanini Uliamua Kufanya Wedding Dresses? Shuu: kwa sababu ni kitu ambacho napenda toka nikiwa mdogo kifupi napenda mitindo na urembo AFS: Huwa Unatoa Wapi Inspiration Zako? Shuu: Nikiangalia nilipotoa napata nguvu ya kupambana zaidi! Mimi…

Mitindo

Reviewing Dida Shaibu Wedding Dress 

Mtangazaji kutoka Wasafi Bi. Dida Shaibu jana amefunga ndoa, ambapo alichagua kuvaa sheer high neck mermaid dress kutoka kwa designed by shuu. Kama ma-bibi harusi wengine, Dida alipendeza sana. Alimalizia muonekano wake na head gear na drop earrings. Tumependa namna alivyoonyesha skin without showing too…