Reception / Wedding Guest Dresses Inspiration From Chioma Ikokwu
Anaitwa Chioma Ikokwu au Chiomagoodhair ni mfanyabiashara na wakili kutoka Nigeria lakini pia ni fashionista mzuri tu huwa hanaga kazi mbovu anajua anachofanya. Leo tunakuleta looks chache zilizotuvutia kutoka kwake ambazo na wewe unaweza kuiga iwe ni reception dress au wedding guest dress. well tuambie…
Wedding Reception Dresses Ideas Kutoka Kwa Pearl Thusi
Pearl Thusi ni Muigizaji, Mwanamitindo na Mtangazaji kutoka South Africa, ni moja kati ya fashionista’s anaefuatiliwa zaidi Nchini humo na Nje ya Nchi. Kutokana na kazi zake Pearl Thusi amekuwa akipewa deals mbalimbali za kutangaza katika event kubwa mbalimbali na hapa sisi ndipo huwa haletagi…
Reviewing Joel Lwaga Outfis On His Wedding
Mwanamuziki wa Injili kutoka Tanzania Joel Lwaga amefunga ndoa week iliyopita, ambapo alikuwa na sherehe mbili ya send off na ndoa. Hongera kwa Joel na mkewe lakini pia tusinge acha ipite bila kufanya review ya outfit zao katika sherehe hizi mbili Tuanze na sendoff ambapo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…