Burna Boy Kuvaa Crop Top, Zuchu Na Boxing Pants And More Fashion News
The week had alot going on, tumeona looks kutoka kwa watu maarufu ambayo tumeiona mtandaoni. Tunakuletea zile stories za fashion na urembo ambazo zili make headlines kwa namna moja au nyingine Mwanamuziki Burna Boy kutoka Nigeria alivaa risqúe ‘crop top’ akiwa ana perform on stage…
Hamisa Mobetto Na Mahusiano Mapya, Wiz Khid Ayo Kwenye Cover Ya Vogue, Zari Under Wear Saga + More
Kama ilivyoada huwa tunawaletea habari zilizoshika headlines kwa upande wa fashion kwa week nzima, week hii tumeona habari nne ambazo zimeshika vichwa vya habari vingi. Mwanamitindo na fashion entrepreneur Hamisa Mobetto ameonekana kuwa na mahusiano mapya, mwanadada huyu ambae alionekana akiwa Dubai na Mwanamuziki Ricky…
Flaviana Matata Afunguka Kuhusu Kuvunjika Kwa Ndoa Yake, Jackie Cliff Arudi Uraiani, Budget Ya Harusi Ya Aristoste + More
Week nyingine imeisha na huwatunajua ni lazima kuwe na jambo la kuongelea, well week hii zilizoonekana kushika masikio ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata kufunguka kuvunjika kwa ndoa yake. Flaviana Matata alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu…
All White Affairs While Toasting With Moet
Moet & Chandon wamesheherekea Moet Grand Day ambayo imewaunganisha watu maatutu mbalimbali kutoka katika bara la Africa. Kwetu Tanzania ambao walituwakilisha ni Rio Paul, B Dozen, Brigitte Alfred pamoja na fashionista Doris, theme ya hii siku ilikuwa all white na tuliwakilishwa vyema kabisa. Brigitte alivaa…
Celebrities Looks Over The Weekend
This week mitandao ya kijamii ilichangamka kutokana na watu maarufu mbalimbali ku-share picha zao katika account zao, wakiwa katika style mbalimbali za mavazi kuna ambao walikuwa casual, wengine walikuwa chic, wengine walikuwa wamehudhuria katika sherehe mbalimbali. Kama ilivyoada tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na…
Celebrities Showed Us How To Look Chic In Denim
Watumaarufu wengi hupenda kuonekana kwenye mionekano ambayo ni ya tofauti kidogo, wengi wanapenda kuwa wa kwanza kuvaa mavazi ya aina fulani au kuonekana kwenye zile occasional looks. Lakini week iliyopita imekuwa tofauti kidogo tumewa-spot watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia denim looks ambazo hata mtu wa…
Best And Worse Dressed Celebs From Last Week
As usual inapofika Jumatatu tuna-round up looks kutoka week iliyopita ya nani alivaa nini na kama alipendeza au Lah!., Well kutoka week iliyopita tumeona mionekano tofauti tofauti kuna ambao walipendeza, walikuwa kawaida na walio haribu hapa tunaangalia wale waliopendeza zaidi. Rosed Makeup in detached skirt…
Best Looks Of The Week
Ni week nyingine tena, ambapo tumeona April imeanza na masham sham kutoka kwa watu maarufu mbalimbali. Tumeona tuwape looks ambazo zimetuvutia toka April ianze mpaka sasa, hizi ni baadhi tu ambanzo zilipita kwenye upeo wa macho yetu inawezekana kuna wengine lakini tulishindwa kuwaona. Tunadhani Diamond…
Lulu Diva In Jadore Couture Dress For Birthday Photoshoot
Mwanamuziki Lulu Diva amesheherekea siku yake ya kuzaliwa week hii, ambapo hakukuwa na shamsham zozote kutokana na janga la msiba tulilonalo, lakini watu maarufu waliweza kumtakia kheri katika siku yake hii ya kuzaliwa ambapo walitumia picha hizi alizopiga kwaajili ya siku yake ya kuzaliwa. Lulu…
2021 Slayage Edition
Ni Siku Nne tu toka tuanze mwaka mpya, na tunaweza kusema mwaka tayari unaonekana kuanza vyema kabisa as watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-slay na outfit zao. Tunaanza na mwanamitindo Happiness Magese ambae alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa amevalia tulle dress ya pink akiwa amemalizia…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…