Reviewing Looks From Wema Sepetu’s Birthday Party
Kunapotokea event kubwa huwa macho yetu yanakuwa kwenye wageni waalikwa as tunajua kila mmoja wao anataka kuvaa apendeze na awe kwenye ile list ya best dressed katika siku hio, Ijumaa Wema Sepetu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika birthday party…
Wema Sepetu Celebrated Her Birthday In 3 Looks
Wema Sepetu ameongeza mwaka mwingine tena na kama kawaida yake amesherekea siku yake hii ya kuzaliwa in a glamorous way, ikiwa alivaa 3 looks tume review mionekano yake yote mitatu, unaweza kuangalia review yetu hapo chini Tuambie ni look gani umeipenda zaidi?
Wema Sepetu Birthday Photoshoot Raised The Bar
Tupo a bit late kuongelea hii photoshoot lakini ni photoshoot ambayo ipo worthy kuiongelea, Wema Abraham Sepetu amesheherekea Bithday yake juzi, Mwaka huu hakukuwa na sherehe lakini imeonekana all the efforts ziliwekwa kwenye photoshoot. Well the photoshoot was just minimal na ni monochrome looks, lakini…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…