Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot
Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020…
Wema Sepetu Na Happiness Magese Wakituonyesha Namna Ya Ku-Slay In Pajama’s
Its Furahi day na inawezekana upo bored lakini unataka kuonekana well putted together, labda ume-alika marafiki zako nyumbani au hata unamtoko ambao ni casual na hujui cha kuvaa, Wema Sepetu na Happiness Magese wametuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa pajama na bado uka-slay. STREET STYLE: PAJAMA…
Beauty Looks Served From Last Week
New Day, New Week, Same Hustles.. Heri ya week mpya afromates na kama ilivyoada huwa tunaanza week kwa kuangalia week iliyopita kulikuwa na nini, nani amefanya vyema na nani ameharibu. Week hii tunaangalia mionekano ya nywele na makeup kutoka kwa watu maarufu mbalimbali akiwepo Hamisa…
Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review
Mwanadada Jacqueline Mengi ambae alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000 aliandaa Beauty Legacy Gala ambayo ilikusanya warembo mbalimbali wa miaka tofauti tofauti. Theme ya event ilikuwa ni high tea. Tukiongelea high tea ni chakula kinacholiwa jioni ila hiki ni lightly meal yaani chai na cakes, scones…
Best Dressed At I Am Zuchu Event
Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata. Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red…
Wema Sepetu & Sishkiki Showing Us How To Wear Sexy Suit
Muigizaji Wema Sepetu na fashionista sishkikii wameonekana week hii wakiwa wamevalia suit, na sio tu suit ila ni sexy suit. Unaweza ukajiuliza sexy suit ni nini, tumesha zoea kuona power suit. Zile suit ambazo zinavaliwa official kwa ajili ya official kwendea kazini au katika business…
Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo
Mwezi mtukfu wa Ramadhani umeanza, na kama ilivyo kawaida ya mwezi huu watu wengi hutumia muda wao kufanya yale yanayo mridhisha M/Mung kama kufnga, kujistiri na kufanya yale yaliyo mema. Ukifikaga mwezi huu huwa tunasubiri kuona transition ya watu maarufu kutonyesha namna wanavyoweza kutoka katika…
Beauty Looks Of The Week From Elizabeth Michael, Wema Sepetu And Others
Japokuwa wanasema tabasamu inanguvu kuliko make up, lakini tunajua makeup nayo ina ujazo wake katika muonekano kwa wote mwanamke na mwanaume. Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa face beaten well lets say nani na nani ambao wametuvutia na looks zao. Wema Sepetu was dolled…
Celebrities Are Living Fresh From The Runway Life
Hatujui kama tuiite trend au ni muamko kutoka kwa watu maarufu, kwa sasa tumeweza ku-spot watu maaruufu wakiwa wamevalia mavazi kutoka kwa wabunifu wa hapahapa Nchini tena yakiwa yametoka straight from the runway. Kwa hii trend/muamko sisi tunaufurahia kwa muda mrefu tumekuwa tukitamani wabunifu na…
Wema Sepetu Should Throw Away Skin Jeans And Start Investing In These Types Of Trouser
Inawezekana wakati bado ana mwili mnene Wema alimiss kuvaa skinny jeans kwa maana kwa sasa ndiyo vazi lake kubwa, tunaweza kusema na flat tummy yake na suruali hizi zinamkaa vizuri lakini tatizo linakuja miguuni Wema ana skinny legs ( which is totally okay to have)….
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…