Clogs Kutoka Kwa Balenciaga X Crocs Zinavyo Trend Kwasasa
Kama ulikuwa unamawazo kwamba hii trend ya rlocs itaisha anytime soon well tunakushauri chukua kiti ukae kwa maana inaonekana brand zimeamua kuzirudisha kwa kasi ya radi. Balenciaga na Crocs waliungana na kutoa baadhi ya viatu ambapo mojawapo ni hizi clogs na zinaonekana kuvutia watu maarufu…
Zara Quilted Chain Strap Shoulder Bag Inavyotrend Kwasasa
Imekuwa muda mrefu toka tuwaletee vitu vinavyotrend Duniani kwasasa well we are back na kuanza tunaanza na hii bag kutoka katika kampuni ya mavazi ya Zara. Kama wewe ni mpenzi wa handbag na hujui bag ipi ipo kwenye trend basi leo tunakuletea hii kwa ajili…
Big Pendant Necklace’s Are The New Choker’s
Wenzetu huwa wanasema “Go Big Or Go Home”, inaonekana wasanii wetu wanalitilia mkazo hili kwasasa linapokuja swala zima la mikufu na vidani vyake. Tumeona wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwa wanavalia mikufu yenye vidani vikubwa vyenye maandishi au picha mbalimbali inategemea na mapenzi yake. Kwetu Tanzania…
Balmain On Hamisa Mobetto, Maua Sama & Macrida Joseph
2021 tuliona ambavyo watu maarufu wengi walikuwa wajirabu styles mbalimbali na ku-dare kuwa wa tofauti, tupo 2022 na tunajaribu kujua nini kitafuta lakini mpaka sasa tunaweza kusema tunapenda tunachokiona. Tumewaona Fashionista’s Hamisa Mobetto, Maua Sama na Macrida Joseph wakiwa wamevalia hizi outfits za Balmain ambapo…
Muna Love Serving Looks After Surgery
Rose Alphonce a.k.a Muna love ni true definition ya new year new me ameingia mwaka mpya akiwa na new age na new body. Muna ambae miezi ya mwishoni ya mwaka 2021 alitangaza kuwa atafanya surgery 11 katika mwili wake, mpaka sasa tumejua surgery 3 tu…
Je Tunavuka Mipaka Kama Wedding Guest’s?
Waswahili husema “Mgema akisifiwa tembo hulitia maji”, tumekuwa na tabia ya kusifia wedding guest wanaopendeza na kuwa watofauti katika harusi za watu, tunadhani sifa hizi nyingi zimesababisha wengine kuzidisha kiwango na kupitiliza mwishoe kuharibu. Hivi karibuni kulikuwa na harusi ya hair stylist Aristotee ambapo baadhi…
Flaviana Matata Afunguka Kuhusu Kuvunjika Kwa Ndoa Yake, Jackie Cliff Arudi Uraiani, Budget Ya Harusi Ya Aristoste + More
Week nyingine imeisha na huwatunajua ni lazima kuwe na jambo la kuongelea, well week hii zilizoonekana kushika masikio ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata kufunguka kuvunjika kwa ndoa yake. Flaviana Matata alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu…
Irene Uwoya Spotted In Fendi First Bag & Shoes
Tumemuona muigizaji Irene Uwoya akiwa amevalia set ya Fendi First Bag & Shoes, Bidhaa hizi kutoka fendi zimekuwa debuted katika Fendiβs Fall/Winter 2021 Ready-to-wear Collection mapema mwaka huu. Na kwa utabiri wa fashionista’s wengi hizi bidhaa za Fendi zitaishika dunia kama ambavyo tuliona Bottega Bags &…
3 Ways To Style Short Part Suit
Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumekutana na hii style ambayo tumeona ina trend kwa sasa na hii ni suit ya vikaptula. Suit ambazo zimezoeleka ni zile za skirt na suruali ndefu, japo suit za kaptula zipo miaka na miaka lakini ni mara chache…
Cutout Side Blazer Trend
Bye boring blazer and hello cutout side blazer’s’ ikiwa kwa muda mrefu vazi la blazer limekuwa likibadilishwa tu vifungo na rangi inaonekana wabunifu wamekuja na namna mpya ya kuli-modify, yes sasa tunaweza kuvaa blazer na kuonyesha skin at the same time. Tumespot hii trend ambayo…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…