Nandy Vs Macrida Who Rocked It Better
Leo kwenye who rocked it better tunae mwanamuziki Nandy pamoja na stylist Macrida Joseph, tume wa-spot wawili hawa wakiwa wamevalia S Colorful Striped Halter Chic Backless Jumpsuit. Nandy amevalia jumpsuit hii akiwa amemalizia na pixie cut hair style, big hoop earings na simple makeup wakati…
Quen Linna Totoo VS Jojo Gray
Another Fashion Battle Field, hii segment tunawaletea Fashionista’s mbalimbali wa kiume na wa-kike ambao wamevalia mavazi yanayofanana na mtachagua nani ame-style vazi hilo vizuri zaidi. Week hii tunae Fashionista Jojo Gray na wifi yetu kutoka kwa mwanamuziki Dogo Janja, Quen Linna Totoo wakiwa wamevalia hii…
How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look
Anitha Closet ni fashion blogger & fashionista kutoka Nchini kwetu Tanzania, ni moja kati ya wale fashionista ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu, hats off kwake kwa kuendelea kuwepo kwenye tasnia bila ya kuchuja. Anitha alihudhuria katika Autism Awareness Gala akiwa amevalia hii look…
Who Rocked It Better Hamisa Mobetto Or Chioma?
We love it tunapoona watu maarufu wamevaa nguo zinazofanana, no sio kwa sababu ya kuuliza nani kavaa vyema zaidi, bali wanatupa option ya kujua namna mbalimbali ambavyo unaweza ku-style mavazi hayo. Week hii kwenye Friday Fashion Battlefield tunao fashionistas wawili, Hamisa Mobetto kutoka Tanzania Vs…
Beyonce Vs Toke Makinwa Icy Park Outfit
At this moment we can all agree Toke Makinwa doesn’t play when it comes to her wardrobe. Ukiangalia page yake utakutana na luxury brand shoes, handbags na mavazi. Watu ambao anakuwa compared nao kwa sasa ni kina Beyonce na Ciara. Ciara & Toke Makinwa Rocking…
Lavie Makeup Vs Sanch In Elisha Red Label Statement Dress
Another Furaaaahi Day, Another Friday Fashion Battle Field, Leo tunae makeup artist Lavie Makeup na mwanamitindo Sanch ( Surraiya) wote wawili wakiwa wamevalia statement dress kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label. Wa kwanza kumuona katika gauni hili alikuwa mwanamitindo Sanch ( Surraiya) ambae yeye alivaa…
Zuchu Vs Maua Sama In Mini Skirt Suit
Its been a minute kuona watu wamevaa mini skirt suit ni kama watu wamezisahau hivi kwa sasa suit zinazotamba ni za suruali lakini tunaambiwa dare to be different na hiki ndicho ambacho wanamuziki Zuchu na Maua Sama wamefanya. Wao wameonekana kutokutaka kuwa sawa na wengine…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…