SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

Jojo Gray Vs Julitha Kabete 

Jojo na Julitha ni fahionista’s wanaofanya vyema sana hapa nyumbani, ikiwa Julitha ana tuwakilisha South Africa, Jojo yeye yupo hapahapa na anaendeleza mapigano ya mitindo vizuri kabisa. Week hii tupo nao kwenye segment ya Fashion Battle Field ambapo hapa tunaweka wale waliovaa mavazi yaliyofanana na…

Fashion Cop

Nandy Vs Macrida Who Rocked It Better 

Leo kwenye who rocked it better tunae mwanamuziki Nandy pamoja na stylist Macrida Joseph, tume wa-spot wawili hawa wakiwa wamevalia S Colorful Striped Halter Chic Backless Jumpsuit. Nandy amevalia jumpsuit hii akiwa amemalizia na pixie cut hair style, big hoop earings na simple makeup wakati…

Judge Afro

Quen Linna Totoo VS Jojo Gray 

Another Fashion Battle Field, hii segment tunawaletea Fashionista’s mbalimbali wa kiume na wa-kike ambao wamevalia mavazi yanayofanana na mtachagua nani ame-style vazi hilo vizuri zaidi. Week hii tunae Fashionista Jojo Gray na wifi yetu kutoka kwa mwanamuziki Dogo Janja, Quen Linna Totoo wakiwa wamevalia hii…

Mitindo

How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look 

Anitha Closet ni fashion blogger & fashionista kutoka Nchini kwetu Tanzania, ni moja kati ya wale fashionista ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu, hats off kwake kwa kuendelea kuwepo kwenye tasnia bila ya kuchuja. Anitha alihudhuria katika Autism Awareness Gala akiwa amevalia hii look…

Judge Afro

Yemi Alade Vs Chioma 

Mwanamuziki Yemi Alade na Fashion-prenuer Chioma The Good Hair wote kutoka Nigeria wameonekana wakiwa wamevalia hii feathered blazer pamoja na see through leggings kutoka kwa mbunifu Weiz Dhurm Franklyn kutoka Nigeria pia. Yemi alionekana akiwa amevalia mavazi haya kwa rangi ya pink, akiwa ame-style na…