Wasafi Festival Looks In Songea
Mpaka sasa wasafi festival imeshapita sehemu tatu ambapo walianza na Mtwara, wakaenda Ruangwa na week hii tumewaona wakiwa Songea, na tupo hapa kuongelea looks za recently ambayo ni Songea, utajiuliza kwanini tumeruka Ruangwa, sababu ni moja tu hakukuwa na looks za kuziongelea sana. Songea wasanii…
Reviewing Wedding Guest’s Looks At Raya & Barnaba’s Wedding
Watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika reception ya mwanamuziki Barnaba na mkewe Raya ambao wamefunga ndoa week iliyopita, well tupo hapa kureview nani alivaa nini na was it giving what it suppose to give au its a failed assignment? Nandy Na Billnas tunaweza kusema hii ni…
Watu Maarufu Kuvaa Winter Jackets Kipindi Cha Jua
Leo kwenye fashion court tupo na watu maarufu wanaovaa winter jackets na jua hili la Nchini kwetu, tena basi wakiwa hawapo Iringa wala Mbeya wapo kwenye Jiji lililobarikiwa Jua na Joto. Yes we have seen it and imetushangaza unavaaje winter coat na hili jua? Are…
Scarf It Up
Tumezoea kuona accessories zinazotrend kama viatu, mikufu, handbags, mikanda etc ni mara chache kukuta scarf ipo kwenye trend lakini kwa sasa scarf imechukua nafasi kubwa kwa pande zote mbili kwa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanaume tumewaona wakiitumia kufunga shingoni kama tai, watu maarufu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…