SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Mashabiki Wameshindwa Kuvumilia Wig La Diva The Bawse 

One thing kuhusu mashabiki na hasa wa-Tanzania watakupa ukweli wako upende usipende,hivi karibuni mwanadada mwenye sauti yake nzuri mjini Diva The Bawse ameonekana kuwa analaumiwa na mashabiki wake kutokana na wig analolivaa. Mashabiki wamekuwa wakimsema aliyemuuzia kwamba amemkomoa lakini wengine kuwa wakweli kabisa na kusema…

Urembo

Namna Ya Kutunza Wig Lako 

Nywele ni sehemu muhimu ya muonekano. Kiukweli nywele zinakamilisha muonekano . Nywele  zako zinaweza kufanya uonekane mdada wa maana au unalazimisha. Nakwambia nimeshaona wadada wamevaa kisista duu kweli ila nywele tu…nywele tu. Actually, hawa wadada ndio wamenimotivate hata kuandika hii article. Mara nyingi tunaassume watu…

Hair

Makosa 4 Ya Wigs Ambayo Hufanyika Na Namna Ya Kuyatatua 

Baada ya kipindi kirefu wig’s kuonekana katika beauty regime ya watu wengi sasa zimeonekana kukubalika kwa kasi na kufanikiwa kuingia katika mainstream popularity in beauty community, asante kwa watu maarufu ambao wameonekana kuzivalia kwa kiasi kikubwa. Ikiwa zinasaidia ku-save muda lakini pia pale ambapo unapata…