Crushing On Ruth Justice – J Adore Tz CEO Styles
We love when a woman makes boss move’s while staying ahead of her fashion game. Moja kati ya wanawake ambao tunapenda style zake na mihangaiko yake ni mwanamama Ruth Justice ambae ni mmiliki wa Hair & Beauty Salon ya @j_adoreintz Ruth amekuwa akitupa edge looks…
3 Times We Had A Crush On Jocelyne Maro Wedding Guest Styles
Jocelyne Maro ni mwanamitindo kutoka Tanzania lakini pia ni mama, well Jocelyne ni moja kati ya wale wadada ambao tunasema ukiwaalika katika harusi yako inabidi ujibebe, she ain’t playing linapokuja swala la kupendeza akiwa katika mitoko kama harusi, leo tuna crush na wedding styles zake…
We have A Crush On Instagram Fashionista Sishkiki Styles
Tunachopenda kwa sasa ni kuona Tanzania tunapata watu ambao wao wakosawa tu na ku-slay hata kama sio watu maarufu, wako tayari kuonyesha watu namna ambavyo unaweza kuwa mtu wa kawaida na ukapendeza truth be told kwa sasa Fashionista’s wapo wengi sana Tanzania. Moja kati ya…
Muigizaji Kutoka Nigeria Nana Akua Addo Na Style Zake
Muigizaji Nana Akua Addo ni moja kati ya watu maarufu tunao jivunia kutoka Africa, tunaweza kusema Nana ni moja kati ya watu maarufu ambao wapo fashion foward katika bara hili la Africa, styles zake sikuzote ni tofauti na wengine ana jaribu sana ku-cope na style…
Mwanamitindo Wa Kimataifa Naomi Campbell Ameomba Kuwe Na Vogue Africa Edition
Naomi Campbell ni moja kati ya wanamitindo wanao heshimiwa sana Duniani, kutokana na kazi yake na impact aliyoifanya katika Tasnia hii. Naomi yupo Nigeria kwa sasa kwa ajili ya Arise Fashion Week, Ni event ambayo ina shirikisha wabunifu 45 kutoka katika Nchi 14. Akiwa Lagos Nigeria…
Samira Bawumia 2nd Lady Kutoka Ghana Ni Fashion Goals
Wakati wengi tukiangalia au tukiwaangalia first ladies kutoka Nchi za Nje la bara la Africa na kupenda wanavyo vaa tunasahau wa kwetu kutoka Africa, well miaka iliyo pita Michelle Obama alikuwa ana make headlines sana kutokana na ku-slay kwake as a first lady lakini pia…
Crushing On Nigerian Female Rapper Mo’Cheddah Styles
Modupe-Oreoluwa Oyeyemi Ola, au anajulikana kama Mo’Cheddah kwa jina lake la kisanii, Ni Rapper wa kike kutoka Nigeria ambae leo tuna crush na styles zake. Mo’cheddah yupo tofauti na rapper wengine wa kike kutoka Africa linapo kuja swala la styles za mavazi ikiwa wengi huwa…
We Are Crushing On Amina Abdi Rabar Styles
Kuna baadhi watakua wanamjua na baadhi hawamjui, lakini Amina Abdi Rabar linaweza kuwa si jina geni masikioni mwa wengi ni mtangazaji na mwanamuziki kutoka Kenya, lakini sisi tunamtambua Amina kama fashionista ni moja kati ya fashionable female presenters wa Afrika Mashariki. Amina she can rock almost…
Crushing On Kyrzayda Rodriguez Fashion Blogger Who Is Battling Cancer
Kyrzayda Rodriguez ni fashion blogger anaeishi new york city, sisi ni moja ya wafuasi wake wakubwa, ana umri wa miaka 37 na ni mama ( ana mtoto) Kyrzayda alianza blogging mwaka 2013 na mwaka 2016 aliacha kazi yake na ku focus katika blog yake. Kyrzayda hivi…
How To Slay As A Wedding Guest
Siku hizi ukiwa bibi harusi unakuwa na kazi mbili ya kwanza kupata dream wedding dress yako, lakini ya pili ni kuipata yenye matakwa yako pia nzuri ya kukufanya upendeze zaidi kuliko wageni waalikwa,yes ukifanya masikhara unafunikwa tu watu hawajali kama ni siku yako special so…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…