SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Jinsi Ya Kustyle Mavazi Ya Ofisini 

Tukiwa tunajiandaa na kuanza week mpya kesho na kuandaa mavazi yetu ya ofisini tumeona tukuletee tips chache ambazo zinaweza kukusaidia ku upgrade muonekano wako wa ofisi kuanzia sasa Style blazer yako ya ofisini kwa kuongezea kufunga mkanda lakini pia kukunja mikono ongezea rangi na prints…

Mitindo

Namna 4 Za Kuvaa Sneakers Ofisini 

Kwa hizi mvua zinazo endelea kama kunakitu amabcho huwa kinaumiza kichwa ni uvae kiatu gani kazini, as we all know heels na matope haviendani. Kuna viatu vingi vya kuvaa ambavyo ni flats lakini na hii mvua viatu ambavyo vinaweza kukabiliana na tope hasa ni sneakers. Je…

Mitindo

Work outfit Ideas Msimu Huu Wa Baridi 

Kujua nini cha kuvaa huwa kazi wakati wowote wa mwaka, lakini huwa ngumu sana kipinndi cha mvua/baridi. Kipindi cha joto inakuwa rahisi kidogo maana kuna kuwa hakuna too much layering sio kama baridi unatakiwa ufikiririe sio tu cha kuvaa bali nini uvae na nini hili kuonekana proffesional…

Mitindo

This Week Work Outfit Ideas 

Weekend imefikia tamati na ni wakati wa kurudi maofisini sasa, tunaacha casual outfit’s na kuvaa corporate zaidi zile ambazo zinafaa kiofisini zaidi,leo tumekuletea ideas ni vipi unaweza kujipangilia week hii Coloful statement top na pencil skirt – unaweza kuwa na top yako colorful unaivaaga nyakati tofauti…

Mitindo

Namna Ya Kuvaa Rangi Nyekundu Kazini 

Unaweza ukawa unajiuliza je ni sawa kuvaa rangi nyekundu kazini? kama ni sawa naivaaje? well yes unaweza kuvaa rangi nyekundu kazini lakini inategemea na eneo lako la kazi, research zinasema wanawake wakimuona mwanamke mwenzao kavaa rangi hii wanamuona kama threat, however kwa wanaume ni tofauti inakufanya…

Mitindo

JINSI YA KUSTYLE PENCIL SKIRT TO WORK 

Baada ya weekend moja tulivu leo ni mwanzo wa wiki nyingine na muda wa kwenda ofisini Sketi ni vazi ambalo wanawake wengine wanapenda kuvaa wakiwa kazini, na leo tunaleta namna unavyoweza ukastyle sketi ya penseli yaani “Pencil Skirt”. Unaweza ukavaa skirt yako na blouse za…

Mitindo

How To Wear Suit All Week 

Tunamaliza week ya mwisho ya mwezi wa kwanza katika mwaka 2018, yes we have to end this month with style maana sio kwa ugumu wa mwezi huu kama ume survive inahaja ya kujipongeza. Well tumefikiria kumaliza week hii in suit, suit ni timeless elegant piece…