SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

4 Work Outfit Ideas From Hamisa Mobetto 

Ni week nyingine tena inayoenda kuanza, umesha jiandaa na nywele, kucha, mentally uko tayari kabisa kuianza week yako lakini tunajua namna ambavyo inaweza kuwa hectic katika kuchagua nini uvae kwenda kazini. Kama wewe ni mdada na unapenda kupendeza ila iwe kidada zaidi basi look hizi…

Mitindo

You Don’t Need Heels To Look Classy At Work 

Inawezekana wewe ni mmoja ya wale ambao wanapitia hii hali,unadhani huwezi kupendeza au kuonekana classy kazini kama hutovaa heels, kiukweli unaweza kuvaa flats na ukaonekana classy. Well leo tupo hapa kukupa tips za namna ambavyo unaweza kuvaa flats kazini Kuna option mbalimbali za flats ambazo…

Mitindo

Dress For Success 

Unakumbuka siku ambazo ulikuwa unaililia kazi? Siku ambayo uliitwa kwenye interview ulivyo hangaika kununua mavazi mapya ukavaa uonekane presentable? Siku umetumiwa email au kupigiwa simu uanze kazi namna ambavyo ulifurahi na kutafuta mavazi mazuri ya kuvaa huko, tuulize nini kimekubadilisha? Wote tunasababu zetu kadhaa wa…

Mitindo

What Not To Wear To An Interview 

Umeshasoma articles nyingi sana za kitu gani uvae katika job interview ila tumesahau kukumbusha vitu gani hautakiwi kuvivaa. Haijalishi unaenda kufanya interview kwenye aina gani ya kampuni, cha muhimu kufanya ni kujua ni aina gani ya interview unayoenda kufanya. Kwenye job interview hivi ni vitu…

Mitindo

Namna 5 Za Kuonekana Stylish Kazini 

Moja kati ya vitu ambavyo wengi tunapitia ma-ofisini ni kuwa confused kati ya kuwa over dress na ku-low dress ofisini na chaguo kubwa huwa kuwa katikati yaani usiwe low wala over dressed na hapa ndipo tunapokutana wengi unakuwa na ma shirt yako ya rangi moja…

Mitindo

Namna Ya Kuonekana Classy & Elegant Ofisini 

Ladies wewe ni mmoja kati ya wale ambao unajitahidi sana kazini uonekane elegant na classy lakini unaona bado haujafanikiwa? Inawezekana kuna vitu vidogo vidogo una miss katika mionekano yako.Leo tunakuletea tips zinazoweza kukusaidia uonekane classy na elegant Fitted outfits / Right Materials Hakikisha nguo zako…

Mitindo

3 Tips To Get Dressed Quicket To Work 

Umetoka zako out weekend umechoka unaamka asubuhi hujui uvae nini unapoteza muda kutafuta nguo matokeo yake wewe ni mchelewaji sugu kazini kila siku upo kwenye chumba cha HR kusemwa kuhusu uchelewaji wako lakini je wajua hili linaweza kubadilika na ukawa unatoka vizuri bila ya kuwa…