SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Suit Ya Zari Iliyoshonwa Kwa Masaa Saba 

Zarina Hassan A.K.A Zari the boss lady week iliyopita alikuwepo Tanzania kwa ajili ya kazi zake za u-brand ambassador, akiwa hapa Zari aliomba kutembelea Bunge la Tanzania ambalo linaendelea Jijini Dodoma. Zari alivali 3 pieces suit kutoka kwa mbunifu Speshoz ambayo ilileta taharuki kutokana na…

Fashion Cop

The Slayed And Played Looks From Last Week 

Committee ya kujudge weekly looks is back, hii segment tunaangalia looks mbalimbali kutoka kwa watu maarufu katika week iliyoisha. Week hii tuna Hamisa Mobbeto, Zarina Hassan, Wema Sepetu, Lavidoz, Joujou Nyaki pamoja na Gabo Gozimba. Katika hawa kuna ambao tumependa mionekano yao na wale ambao…