Beauty Looks From Last Week
Last week glam code was soft and effortless, ikiwa week ilikuwa tulivu hakukuwa na event yoyote ya kuhudhuria watu maarufu walikuwa na look za kawaida ambazo ni za kila siku na sio zile za mitoko. Well ukiachana na makeup lakini pia tumeona ya nywele ikiwa…
Celebrities Eid Beauty Looks
Jumamosi ilikuwa ni sikukuu ya Eid ambapo waislam wamemaliza kufunga mfungo wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu hii, kama ilivyo kawaida watu maarufu wengi huwa wanapost picha zao katika mitandao ya kijamii kuwatakia wafuasi wao sikukuu njema. Na icho ndicho kilichotokea sikukuu hii ya Eid ambapo…
Je Hili Ni Jibu La Zuchu Kwa Miss Tanzania Organization?
Week chache zilizopita mwanamuziki Zuchu alipewa onyo na kampuni ya The Look ambayo inasimamia mashindano ya Miss Tanzania, Onyo hili lilitokana na mwanamuziki huyu kutumia Sash yenye maandishi ya Miss Tanzania, ambapo kampuni hio ilisema kuvaa Sash yenye maandishi hayo ni “kuiba na kupotosha utambulisho…
Zuchu Apewa Onyo Kwa Kutumia Sash Ya Miss Tanzania
Kampuni iliyopewa kibali cha kusimamia mashindano ya Miss Tanzania “The Look” imetoa onyo kutumia “Sash” yenye jina / maandishi ya “Miss Tanzania”, Kampuni hii ilitumia Official Page yao ya instagram kutoa onyo hilo, Onyo hili limekuja baada ya mwanamuziki Zuchu kutoa wimbo wake mpya unaitwa…
Reviewing Hamisa Mobetto,Zuchu & Phina Looks At Soundcity Africa Awards
Jumamosi iliyopita kulikuwa na Tuzo za Sound City Africa huko Nigeria ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika Tuzo hizo huku Tanzania tukiwakilishwa na Hamisa Mobetto, Phina pamoja na Zuchu. Kama ilivyo ada yetu tuliangalia nani amevaa nini na je tuliwakilishwa vyema au tia maji tia…
New Year Looks From Celebrities
Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na…
Burna Boy Kuvaa Crop Top, Zuchu Na Boxing Pants And More Fashion News
The week had alot going on, tumeona looks kutoka kwa watu maarufu ambayo tumeiona mtandaoni. Tunakuletea zile stories za fashion na urembo ambazo zili make headlines kwa namna moja au nyingine Mwanamuziki Burna Boy kutoka Nigeria alivaa risqúe ‘crop top’ akiwa ana perform on stage…
Tip Ya Kuondokana Na Vidole Kutokeza Nje Ya Kiatu
Vidole kutokeza nje ya kiatu hukupa muonekano mbaya, inawezekana umenunua viatu vinakutosha vyema ila ukavivaa ukiwa umepaka lotion miguuni kwenye sole viatu vikawa vinateleza au inawezekana una tatizo la jasho miguuni ambayo nayo husababisha miguu kuteleza kwenye viatu na sababisha vidole vitokeze mbele,either way tuna…
Ginger Orange Curly Hairstyle Inavyo Trend Kwasasa
Kuna mitindo mbalimbali ya nywele ina trend kwasasa, lakini ambao tumeuona unashika kasi ni hii wig ya rangi ya ginger orange. Tumewashuhudia watu maarufu mbalimbali wakiwekwa style hii hatujajua imetokea bahati mbaya, wanaigiana au kuna brand inatoa nywele hizi kwaajili ya kutangaziwa. Anyways tumewaona watu…
Zuchu Anahitaji Msasa Kwenye Vitu Hivi Vitatu
Zuchu amepiga hatua kubwa sana ki-muziki, kwenye ku-pose kama tunakumbuka zamani aliwa ha-relax lakini pia amepiga hatua kwenye mavazi. Anavaa according to her age na status, well kuna vitu vidogovidogo ambavyo anahitaji kuviangalia ili awe na ile star quality. Kutembea kama kuna msanii ana mwendo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…