Ramadhani Beauty Looks From Tanzania’n Celebrities
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeanza, na kwa sasa watu maarufu mbalimbali wamebadilisha mionekano yao. Ikiwa wengi wanavalia mavazi marefu leo tumejaribu kuangalia looks zao za makeup. Tumewaona Zuchu, Queen Darleen, Hamisa Mobetto na Meena Ally wakiwa na makeup nzuri zilizo tulia tumewaletea hapa in case…
Reviewing Zuchu New Song Cover
Zuchu ni msichana mdogo na we can tell kwamba anapenda ku-explore vitu vipya na kujaribu kufikiri nje ya box. Ametoa wimbo mpya uliopewa jina “sukari” na kwa hype ya huu wimbo tulikuwa tunasubiri kwa hamu kuona video yake kwa bahati mbaya kwa sasa ame-release audio…
Zuchu Ending The Year In Mahaumes Red Dress
Leo ndio siku ya mwisho ya mwaka 2020, phew finally a new phase & new goals. Well mwanamuziki kutoka katika brand ya Wasafi ameona asituache tumalize mwaka bila ya kutuaga, Zuchu ameonekana kwenye hii mermaid dress kutoka kwa mbunifu Mahaumes. Zuchu aliacha gauni iongee alivaa…
Reviewing Zuchu’s Outfit At Tumewasha Na Tigo 2020 Concert
Toka mwaka umeanza tumeona outfit ambazo hazieleweki ( tukijiuzia kusema mbaya) lakini hii ya Zuchu ni funga kazi, how can a young super star ambae anakuwa branded na kampuni kubwa kama wasafi akatoka kwenye event na hii outfit? Whoever design this outfit atuambie how does…
Zuchu Vs Maua Sama In Mini Skirt Suit
Its been a minute kuona watu wamevaa mini skirt suit ni kama watu wamezisahau hivi kwa sasa suit zinazotamba ni za suruali lakini tunaambiwa dare to be different na hiki ndicho ambacho wanamuziki Zuchu na Maua Sama wamefanya. Wao wameonekana kutokutaka kuwa sawa na wengine…
Best Dressed At I Am Zuchu Event
Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata. Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red…
Beauty Looks Of The Week
Tumeanza week nyingine, ni time ya kuwapa review ya week iliyopita, tumeona nini kime-trend na nani alipendeza na nani alikuwa mmh. Week iliyopita kilicho trend ni beauty looks, tumeona watu maarufu wengi wakiwa wamepost mionekano yao ya makeup and once again tunasema makeup artist wa…
Zuchu Anahitaji Stylist ASAP
Kwa sasa mwanadada aneongelewa zaidi katika anga ya muziki ni Zuchu, amesainiwa hivi karibuni na WCB ikiwa chini ya mwanamuziki Diamond Platnumz. Zuchu anafanya vizuri na nyimbo zake lakini sehemu ambayo tunaona iko wrong ni upande wa fashion. Anaonekana anapenda fashion na anapenda kujaribu lakini…
Lulu Diva, Ciara Na Zuchu Wakiwa Katika Floor Length Braids Trend
Inaonekana trend kubwa kwa sasa ni kusukia rasta ambazo ni ndefu mpaka chini tunaposema chini tunamaanisha zinagusa ardhi. Mwaka 2017 tulimuona mwanadada Nicki Minaj ambapo yeye alisumia rasta ndefu hivi katika video ya motor sport. Nicki alisema ilimchukua masaa 36 kusuka nywele hizi ambapo hii…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…