SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAKE UP GAME ILIVYO BADILIKA KUTOKA ZAMANI NA SASA
ThrowBack

MAKE UP GAME ILIVYO BADILIKA KUTOKA ZAMANI NA SASA 

Leo katika TUPA NYUMA au THROWBACK #TBT tunaangalia make up game ilivyo kuwa zamani mpaka sasa, jinsi gani tumekua na kujiongeza katika uwanja huu. Kuna baadhi ya watu maarufu tume chukua picha zao za kule walipo toka na make up mpaka hapa walipo fikia. Enjoy

johari2 JOHARI899

Johari juu ni miaka michache iliyo pita ambapo make up yake haikua nzuri kabisa kuanzia nyusi,kope, make up yenyewe mpaka nywele lakini kwa kipindi hiko alionekana amependeza, na johari wa sasa make up yake ime tulia na inayo eleweka.

wolper_3

jaq

Jacqueline Wolper juu ni zamani kama ambavyo inaonekana ilikua rangi nyingi mno na pia makeup haiku katika mpangilio mzuri wakati chini ni sasa ambapo make up ipo vizuri na inaendana na rangi yake.

uwoyaaa

irene

Irene Uwoya ukiangalia juu ambapo ni zamani utaona nyusi hazikuwa sawa tofauti na chini ambapo ni sasa.

aunthii aunty

Aunty Ezekiel juu zamani ambapo ukiangalia tu utaona jinsi gani make up game ime badilika na sasa watu wana zingatia sana mionekano yao tofauti na ilivo kuwa awali.

wema2

wema

Wema Sepetu ukiangalia juu ambapo ni zamani uatona make up yake haikua nzuri,nyusi,rangi ya make up na tofauti na rangi yake tofauti na sasa.

Jokate3

jojo

Jokate Mwegelo zamani juu na sasa muonekano wa eye shadow na lipstic.

 

 

 

 

Related posts

4 Comments

  1. แทงบอลออนไลน์ 911

    … [Trackback]

    […] Here you can find 16023 additional Info on that Topic: afroswagga.com/throwback/make-up-game-ilivyo-badilika-kutoka-zamani-na-sasa/ […]

  2. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/throwback/make-up-game-ilivyo-badilika-kutoka-zamani-na-sasa/ […]

  3. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/throwback/make-up-game-ilivyo-badilika-kutoka-zamani-na-sasa/ […]

  4. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Here you will find 45226 more Info on that Topic: afroswagga.com/throwback/make-up-game-ilivyo-badilika-kutoka-zamani-na-sasa/ […]

Leave a Reply